Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,470
- 40,829
Duh mpaka nimedisa
Kuna nitakutumia huko inbox si kizuri kukiandika hapa.Ni kweli Kasongo. Ila hata mananasi yapo yanayonukia zaidi ya mengine, kwa hiyo hilo sio tatizo. Labda itoke harufu ambayo sio original kitu ambacho sio rahisi sana labda kuwe na maabukizi.
Sijaandika kukutukana so don't panic.Kama unanuka nenda ukapate matibabu shahawa hazisabababishi uchi wa mwanamke utoe harufu
Karibu sana KasongoKuna nitakutumia huko inbox si kizuri kukiandika hapa.
Manii ni alkaline in nature, ute ni acidic. Vyote vina harufu asilia.Unajua manii yanatengenezwa na nn?!au unaongea tu
Harufu ni must aisee. Yaani hautaona sawa. Ila unawez ukawa unasafisha na kidole asubuhi, jioni ukioga unasafisha kawaida.Leo nimejaribu kuoga bila kuingiza kidole kwenye K yani nimeosha juju tu.....japo najiskia kama cjatakata nasubir jion nione kama kutakuwa na harufu yyt
Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke)
Mimi huwa nikienda kuoga natumia sabuni ya jamaa kusafisha juu kabisa ya papuchi yaani kwenye mapaja na pale juu kwenye nyw**le...then natumia maji mengi kujisuuza na kuingiza kidole ndani kidogo ya K kutoa uchafu either wa period kama niko P na sometimes nakuta kuna ule uchafu mweupe wanaita(utoko) but huo uchafu huwa ni mweupe kama barafu na pia haunuki kabisaa.....
Sasa swali ni kwamba kuna watu wanadai hatupaswi kutoa huo uchafu eti ni bacteria wa kukinga K isipate madhra so hupaswi kuingiza kidole kabisa.... tuoshe juujuu tu......
Second wengine wanasema tusinawe na sabuni kabisaa(japo kama nilivyosema mimi sabuni napitisha kwa juu kabisa tena nikiwa nimesimama ili isiweze kuingia kwenye K coz siamin kama kujisafisha bila sabuni harufu ya mkojo, harufu ya P na jasho itaisha kwa kunawa na maji tu.....na situmii sabuni zenye chemical).
Naomba wanake wenzangu mnipe experience zenu juu ya hili
Kumbe kunakuaga na mauchafu humo ndani ya bleed na jasho...Hapana sijambiwa hvy,and nilipata credit kubwa kutoka kwa bae enzi hizo... nilizurura nae cku nzima then akataka kula mzigo kabla ya kuog akashangaa K haitoi harufu wala ya jasho(because I was shaved) .... ila nachotaka kujua ni kwamba kunamadhara ya kujisafisha kwa kuingiza kidole na kutoa uchafu utakao kuwepo???
Why asijiingize? Na je bwana ake amiwa anamtia midole je?Usitumie sabuni huko chini, na wala usijiingize vidole kuchokonoa.. Jisafishe tu vizuri kwa maji.. Ndo nilivofundishwa.
Nimesoma vizurJINSI YA KUSAFISHA UKE (KUM*)
Kama kuna kitu kinachomkera mwanamme katika uwanja wa sita kwa sita basi ni harufu chafu katika mwili wa mwanamke hasa uke. Na mimi hapa nitazungumzia usafi wa uke peke yake kwani hii ndo sehemu muhimu sana katika mahusiano na inayohitaji usafi wa hali ya juu sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili wa mwanamke.
Jinsi ya kusafisha uke
Njia bora ya kusafisha uke ni yakutumia maji safi bila kutumia sabuni ya aina yoyote. Mara nyingi wanawake hutumia sabuni kusafisha si vibaya lakini ni vizuri ukatambua kuwa iwapo utatumia sbuni hakikisha kuwa haiingii sehemu ya ndani ya uke iishie sehemu za juu ya uke pekee, iwapo sabuni itaingia ndani ya uke huleta bacteria wabaya ambao baada ya muda mfupi huleta madhara makubwa ikiwemo na harufu mbaya. sabuni ni muhimu katika usafishaji wa miili yetu lakini si sehemu ya ndani ya uke bali shemu nyingine za mwili najua wanawake wengi hutumia sabuni kujisafisha uke watashangaa kusikia kutumia sabuni kusafisha uke kuna hatari lakini sabuni huondoa mafuta ya asili ya ndani ya kum* na kusababisha ukavu ukeni kitu ambacho si kizuri hasa ukizingatia kuwa aina nyingi za sabuni zina dawa iitwayo chlorophenol ambayo huondoa aina zote za bacteria katika uke wakiwemo bacteria wazuri kitu ambacho hutoa nafasi ya bacteria wabaya kumea kwa kasi hivyo baada ya muda mfupi harufu mbaya au uchafu mzito sehemu za uke hivyo unapoosha uke hakikisha unaeepuka kuingiza maji yenye sabuni ndani ya uke, chukua maji safi osha uke bila kuingiza ndani ya mpasuko.
HATUA TATU ZA KUOSHA UKE
Hatua ya kwanza-ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya ukeni, wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa.
Hatua ya pili-polepole anza kusafisha uke wako kwa kidole cha pili toka dole gumba, kidole cha kati au chanda(kidole kiwekwacho pete ya ndoa) fanya hivyo kwa maji safi.Hii itakusaidia kuondoa uchafu wote mzito uliopo ukeni
Hatua ya tatu na ya mwisho - Suuza uke kwa kumwagia maji uke wako kuanzia mbele kurudi nyuma unaweza kutumia kikombe au kopo la plastiki hii pia itazui kupata ugonjwa na njia ya mkojo yaani UTI.
Copied
Ila kuna wengine wanasema si vizuri kujiingiza kidole wakati wa kujisafisha, uke una njia ya kutoa uchafu wa ndani. [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Manii yako na ute wake umetengeneza tafrani.....badilisha unachokula
ItakuaSasa je wale wadada ambao wanatoka kuoga lkn ukila mzigo lile bao la kwanza tu unasikia harufu,wanakuwa hawajaosha vzr au ndio harufu imeshakuwa permanent maeneo yale
Maana dampo hata ukilihamishia kwenye kiwanda cha manukato litanuka tu.
Mada nzuri na leo naona watu wameacha ujinga na kurespond vizuri
Sema ukiwa unazungumzia usafi wa uchi wa mwanadada unatakiwa uanze mbali kuanzia usafi wa (nywele )[emoji735] na usafi baada ya kujisaidia haja ndogo from my experience wanawake wengi wenye (nywele )[emoji735] sehemu za siri ni asilimia chache sana wako chini vizuri hii ni kwa kuwa ufugaji we nywele sehemu za siri bila kuziosha ipasavyo unasababisha harufu na uchafu wa kupindukia kwa (nywele )[emoji735] zinakawaida ya kukaribisha maji hasa jasho na kama mnavyojua jasho likiakaa mda linachacha na hii inapelekea uke kutoa harufu kali hata kama umeoshawa
2)kingine usafi baada ya haja ndogo wanawake wa siku izi hawatumii maji kuosha nyeti zao hasa baada ya haja ndogo na wengi wao wanapenda kutumia tishu hasa wanafanya kazi sisemi kuwa tishu ni mbaya ila siamini kama tishu inaosha vizuri kama ungetumia na maji na hasa kwa wanawake wanaofuga nywele sehemu za siri kwa wanapojiosha sehemu ya chembe za mkojo zinatabia ya kunasia kwenye NYWELE [emoji735] na kupelekea kuwa na harufu kali baada ya kujisaidia
*tips* ni vizuri kutokufuga (NYWELE - neno sahihi ni MAVUZI ) hasa kwa wanawake ili kusaidia hali ya usafi katika uke
Faru Joni ,
Hoja yako ni nzuri, lakini tumia maneno sahihi ili watakaosoma hoja yako wapate maana ile ile iliyokusudiwa . .
Nywele huota kichwani . . , Mavuzi huota ktk kinena cha mtu mke au mume . .
Hili linaitwa Jibu mubasharaaYah. hy huwa haitolew kwa kidole. kinachokuja kuutoa huo ute weupe ni Mb** tu hakun kingn
Eti iyo Avatar ni wewe?Wengine tumefundwa kutoa siri za kungwi ni mwiko!!!
Ila jaribu kufanya jaribio binafsi
Kaa wiki nzima bila kuingiza kidole kujisafisha osha tu juu pale halafu wiki inayofuata jisafishe kila siku kidole mara moja utajua inakupasa nini uwe safi Kwa papuchi yako
Tupe experience mkuukaz ipo