Kwa wanawake na wanaume

Hahaha!!!..Ntamtafuta mzee sent tuongee kwa lugha mbalimbali,hope tutaelewana..We endelea kubana
Eeeeeh haelewagi somo when it comes to his daughters. Yani sahau kabisa[emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Hakuna mzee hasiyeelewa somo..Ukiwa na binti lazima upate mkwe..Labda hao waliotangulia hawakujipanga ndo mana hawakueleweka...Degree yangu ya sanaa plus pesa nilizonazo lazima mzee aelewe tu..Hamna namna
 
Pole bro, jus show her those pictures akupe maelezo
 
Hakuna mzee hasiyeelewa somo..Ukiwa na binti lazima upate mkwe..Labda hao waliotangulia hawakujipanga ndo mana hawakueleweka...Degree yangu ya sanaa plus pesa nilizonazo lazima mzee aelewe tu..Hamna namna
Poyeee umechelewa bana, mabinti zake wote tushazeeka na tushaolewa. Labda nikuelekeze kwa jirani[emoji13] [emoji13]
 
Duuuh..Balaa gani hili..Kuzeeka sio tatizo..Hapo kwenye kuolewa sasa..Basi nimesarenda
 
Sio huyo tu na Kaveli nae, ila pandisha dau tu, doto wangu hatoki hivihivi, vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hahahahaaa we kulwa bhana. FYI... hata wawepo kumi, namimi kwny foleni sitoki ng'o ! missyrose ndo anaesababisha niendelee kuwa hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye mapenzi wekeza kihisia, akili kafanyie kazi. Hayatakaa kuja kukusumbua. Alafu haya mambo ya sijui "Romantic Gentlemen" achana nayo. Jaribu kuwa mbaya hutakaa kuja kuumizwa kijinga.
 
Hakuna mzee hasiyeelewa somo..Ukiwa na binti lazima upate mkwe..Labda hao waliotangulia hawakujipanga ndo mana hawakueleweka...Degree yangu ya sanaa plus pesa nilizonazo lazima mzee aelewe tu..Hamna namna

Teh teh teh teh teh!!! Biashara matangazo, ila yako umeyaweka gizani hayaonekani.
 
Huyo mtt wa mzee Sent ndoa tu ndo imemnusuru vinginevyo ningebeba huyo
 
Joas u sound like boy not man ndo maana unagongewa! Subiri wakati wa 'Bwana' ufike ukue umpate wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…