neema niwagila
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 232
- 137
Ndio raha ya JF.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila upande upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie msikae kama magogo kitandani wakati wa mechiHii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Hapn mama maisha tuu ya kweny mtandao haya hamna lolote
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
wewe unalo darasa la jinsi ya kumuhendo mwanaume? yaani nikuoe halafu kwenye kufanya mapenzi tukimbizane kama kuku na jogoo mie sifanyi huo ujingaKapate darasa la kujua jinsi ya kumhendo mwanamke nyie ndomnafaa kusalitiwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh kama nihivyo nimekuelewa [emoji26] [emoji26] [emoji26]Hapn mama maisha tuu ya kweny mtandao haya hamna lolote
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Ngoja nijalibuwait nitakutag utaiona imeandikwa MBITIYAZA MENTIONED.. DORIS GARIEL! ngj nifukunyue ule uzi! ,, kutag ukiona kitu kimekuvutia unaandika neno hili@bila kuacha nafasi alafu unaandikajina la mtu unaetaka aone!upo mamy
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nimewezaje sasa niambieumeweza! huhu hongera!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nimewezaje sasa niambie
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana hapo hapo kwenye button zako.. ukishaweka hii alama@unaandika jina linajitokeza ... Doris Gabriel