Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Huo sio mfano hai, minaongea Hali Halisi.. Shoo Ya Mke Na Ya Mchepuko ni vtu viwil tofaut.. Na nyie Si Mnajidaigi Hamjui Mambo Mengne Mnajidai Wife Material... wakat akienda kwa Mchepuko Anakutana Na Vitu Adimu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Tamaa mbele mauti nyuma ndio nyie mnaoleta magonjwa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu chake bwana umemkubali ndo mmeo hizo ni mali zake muda wowote hata ukikuta anatafuta kick awashe kama bodaboda mwache akiwashe chake tu labda kama mchepuko huyo ndo uje utulalamikie huku kwa mmeo mpeeeeee hata awe yupo golin huku anavuta kiko Vumilia tu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ila humu kuna vichwa vibovu eti ata akitaka kuwasha kama Bodaboda nimecheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si bora huyo kapata starter huko anakuja kumalizia kwako,,je angemalizia hukohuko??

ila pole,ongea na mme wako mambo yatakua sawa

Nakwenda_Zimbabwe
 
Wanawake wa kizazi hiki wanalia sana karidhishwa thatz why ndoa hazidumu, cheatng zimekua nyingi mno kisa tu mtu kasikia utafiti umesema 80% wanawake hawafiki kileleni.
Mama zetu walidumu kwny ndoa coz walikua hawajui kua mwanamke anafika kileleni? Au walikua wanafikishwa?

Swali langu: Why sex?
Reproduction or starehe?
Sex kwa binadamu ni kwa ajili ya starehe na reproduction lakini lazima iwe enjoyable,comfortable kwa pande zote mbili
 
communication ina pande mbili, je wewe unakamilisha pande yako....?
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Mh! pole sana ndugu kwa kupigwa mtama, sipati picha kama nakuona vile unavyodondokea kwenye kochiiiii........Anyway sasa unataka muongee nini tena wakati kifuatacho ITV kinafahamika?
 
Mh! pole sana ndugu kwa kupigwa mtama, sipati picha kama nakuona vile unavyodondokea kwenye kochiiiii........Anyway sasa unataka muongee nini tena wakati kifuatacho ITV kinafahamika?
Hata kama kinafahamika lakini ile babe I love you matters, wewe unafikiri jogoo akimkimbiza mtetea haongei?
 
Back
Top Bottom