Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 796
Anayevumilia kuparamiwa pole yake.===
Nasisi tunaparamia tunagonga kutibu shida zetu mkae mkilia kwenye mitandao tu
Sorry mkuu but unajiskiaje kumridhisha mkeo/mpenz wako?Wanawake wa kizazi hiki wanalia sana karidhishwa thatz why ndoa hazidumu, cheatng zimekua nyingi mno kisa tu mtu kasikia utafiti umesema 80% wanawake hawafiki kileleni.
Mama zetu walidumu kwny ndoa coz walikua hawajui kua mwanamke anafika kileleni? Au walikua wanafikishwa?
Swali langu: Why sex?
Reproduction or starehe?
Mbona unakimbia sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] okay am welcome
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri ila tambua kumridhisha binadamu ni kazi sana.Sorry mkuu but unajiskiaje kumridhisha mkeo/mpenz wako?
Tuache kutumia wazazi wetu kama excuse kama Mwanamke kahama kwao kuja kwako hajafuata Chakula amefuata ma.chine mkuu so be a man
Sent using Jamii Forums mobile app
ww ni ke umetolewa pesa mingi kwenu uje umridhishe mumeo. hayo mengine ni usasa na mbwembwe za mjini zisizo na maana.Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Kwa style hiyo wote tutaishia kutokuridhika.ww ni ke umetolewa pesa mingi kwenu uje umridhishe mumeo. hayo mengine ni usasa na mbwembwe za mjini zisizo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu aiseeeKwanza kukaa unamchezea mtu mpaka aridhike yeye mimi naona kama utumwa... yaani mimi na degree zangu nikachezee uvundo na maji yenye harufu? bora nikale wa express pale kona-bar.... hasa nikimkuta mage wa bukoba
matayarisho kwanza,mimi bila mwanamke kutoa kimoja then mimi ndo nitoe,yeye anatoa cha pili mimi cha kwanzaSwala hapa tunaongelea communication ambayo inawaandaa wote wawili kisaikolojia, pia romance kidogo sasa baba amekuja huko kisa anataka basi anaparamia tu.
Ha ha ha ha, thread zako zinanikoshaga sana, Tuvumilieni wengi wetu tukisha onja mbili tatu basi akili zinatutuma kupanda juu ya mlima kileleni kabisa kule 🙂🙂🙂🙂🙂🙂.Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Ha ha ha ha ha, jamaa duuuh ametisha, hawa ndio wanalalamika kila siku wamesalitiwa hapa wakati hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
Siku hizi mihangaikoni tunatoka wote asubuhi tunarudi jioni tukiwa wote tumechoka na kazi, maongezi ya chumbani ndio faraja pekee itayoweza wapunguzia uchovu,muache kuzurula zurula baada ya kazi sasa mtu unarudi saa 5 au 6 usiku mwenza wako aliyerudi saa 12 jioni anapata wapi motivation ya kukusubiri kukupeti peti wewe usiku wa manane!? Hata maji ya kuoga unajua ngumu kuandaliwa matokeo yake mkiingia bafuni mwajipaka tu maji badala ya kujisugua. Mie binafsi sex za palamiana hapana Bora nikunyime nijue moja nimekunyima basi! Sex ni sawa na safari inapitia vituo Vingi mpaka kufikia Terminal wanaume mbadilikeI'm sorry to hear this but this comes down to fundamental differences between men and women mwanaume akirudi amechoka mind iko blurr unataka aanaze kuku sweet talk to a man that's asking for too much na ndio Maana men huwa wanamake up for it in other ways kwa kukutoa out na gift etc. Sasa understand sex to a man is a fundamental need just like attention and care is yours so in certain circumstances mpeane leeway indulge each others weaknesses ndio ndoa hio. Kwani si unaamini anakupenda kwa dhati what's wrong with allowing him that luxury siku nyingine muambie mfanye differently. That's marriage he works for the family, he remains faithful, takes care of you basi understand there are things u will want be done differently but not all the time will it be that way. It's just sex it's not like he's asking to cut you everyday.
Sent from My BlackBerry Passport
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Wengine mkuu ni 100% mgegedo hakuna hata salamu, yeye anataka haki aliyotolea mahari.Me najua ktk 100% za mahaba, 60% ni romance na 40% ni mgegedano!! Sasa km mtu anatumia 90% kugegeda na 10% romance, huo ni ubakaji, sema tu hujashtakiwa!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh wambie waach kubwek ovyo ovyo[ww ni ke umetolewa pesa mingi kwenu uje umridhishe mumeo. hayo mengine ni usasa na mbwembwe za mjini zisizo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app