Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Samahan mkuu wew
Ni mtaalam kabisa
Ivi kwel mumeo amekuparamia ndo uje kupost kwann usikae nae umweleze?
Kuwa na kifua kama vile
Ulivo na kifua cha kuficha unayoyaona hospital ukiwatibu watu.
[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Yeye hajioni Mpya...wewe utamwonaje Mpya?

Si kiherehere hicho?
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Kama umekutana /unaendlea nayo pole. Dunia ni uwanja wa fujo, kila mwenye ngoma yake hucheza!
 
Kama unataka naye maongezi kabla ya mechi mtoe out kwanza.. Wewe pesa zako unapeleka wapi mpaka ushindwe kumtoa mumeo na kumnunulia ka bia kamoja? Ok bac hata soda inakushinda? Shame on u!
 
Back
Top Bottom