mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
Siku hizi wanawake wanajua sana hii ya kuridhishwa maana wanajua differnt tastes. zamani wanawake waliolewa bikra wakabaki hawajui tamu tofauti tofauti. kwa hiyo hawakulalamika.
hata wale waliosemwa kusoma magazeti wakati wa mechi nao wanajua kulalamika siku hizi.
Ole wako we mwanamume unaeanza wakati wa ndoa na ugeni wa hizo staili!
hata wale waliosemwa kusoma magazeti wakati wa mechi nao wanajua kulalamika siku hizi.
Ole wako we mwanamume unaeanza wakati wa ndoa na ugeni wa hizo staili!