Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kumwona mtu mpya kila siku uku umuheshimu ni ngumu kujishusha.. Wanaume wengi tunaona kutesa wake zetu ni kama inatupa umwamba flani,... ii source ya ili tatizo inanzia kwa mwanamke mwenyew,...
 
Raha ya Sex ni Romance ,kama nimelewa sana bora nisifanye mpaka kesho yake mkuu.Mtu ukinywa pombe na ukalewa sana hata raha ya Sex hutaisikia na hii itamfanya mke wako asiwe na feeling yoyote kwa kuwa hakukuwa na maandalizi muhimu.
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Ata kuku wenyewe wana romance. Mi uwa nafanya kila namna kumpa kitu original wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenzio amekutama na jamaa huko guest ,anamwambia hah!!hujavua tu! Mimi nataka huwahi kwenye kikoa ,hebu Fanya haraka.
 
Oh I do and trust me I love 'love making' not sex love making sema mama understand men are not mind readers wanawake wengi wanafikiri a man will just know what's the right thing to do by you, if it were up to men unafikiri ningekuwa na courting...... nah sasa siku mko wote initiate au mwambie what you want so u do it the way you want atleast na wewe uwe satisfied. In short why not make your own paradise why wait for him to make it, guide him, it's that simple

Sent from My BlackBerry Passport
Mkuu una hoja nzuri sana lakini nakushauri tumia kiingereza tupu ambacho yaonekana unakijua vizuri pengine kuliko kiswahili. Huu mchanganiko unatupa shida kukuelewa. Au tumia kiswahili tupu kama wataka wengi tukuelewe.
 
Hayo yanakuwaga matokea ya a bad start... Means you guys are just **** mates not friends/lovers...

Kwenye mapenzi u- gentleman ukizidi sana hayo ndiyo matokeo...

Ndiyo maana mimi to you times am a gentlemen, times am bad, nakukimbiza mchaka mchaka... Which tumekuwa kama mapacha... Utani, mapenzi, kuongea, and ofcoz good sex...

# Love you Super Dear #

Yeah I like that Smart911 wangu ukiamua kunikimbiza unanikimbiza haswaa as marafiki full utaniii lol napendajeeee hii tukija paleeee sasa ful midekoo navopenda kukurukiarukia kama katotoo.. Asante sana Smart911

Mahondaw wa Smart911
 
Mkuu una hoja nzuri sana lakini nakushauri tumia kiingereza tupu ambacho yaonekana unakijua vizuri pengine kuliko kiswahili. Huu mchanganiko unatupa shida kukuelewa. Au tumia kiswahili tupu kama wataka wengi tukuelewe.
SAwa mkuu...
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Nimelike ktk pm yako ingia uone

Duh! Pole Sky Eclat kwa yaliyokukuta, lakini hiyo si mara mojamoja
 
Ni hivi ongeeni, ongea na. sikiliza.solution yake ni hi I.tafuta muda ambao wrote mmerelax.a good way ni kupropose out kwa mwenzawako.kuwa huko we mama mfanyie foreplay mwenzio halafu kwa mini zilezile zinazotumika n.a. engine kupewa funguo za magari n.a. nyumba basi member kuhusu kukuandaa.atakuelewa tu.kumbuka ktk mapenzi siku zone mwenye control ni mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Exactly..na ndo maana ndoa nying znavunjika,mwite mkalishe chini umwambie yote yaliyojil usiku ule akiwa amelewa sambamba na ww kutofurahia tendo eleza usiogope

Jamaan ata kama n ww, umekunywa zako pombe upo nzwiiii usiku kamwe huez enjoy tendo,chamsingi pombe zikiisha eleza dukuduku lako mapema na cyo kutulaum jamaan

AF na nyie akina Dada ,kipind anakugoogle ad mnakubaliana na kuwa wapenz hukujua kama n cha pombe kwahyo pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom