Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.