bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Au unataka uanze kuambiwa mama nani usiku ni tulivu eti hakuna binadamu anaweza kututenganisha, au ndugu zetu wa kule upande wa pili wa baharia "mama....panua.......mpini wajaHii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.