Tehe tehe dawa na wewe ni kutulia kama humuoni hivi afanye peke yake huku una peruzi jf, unasitisha ushirikiano!!Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wake ni mpya kwako kila siku.
You are not mind readers and when we try to explain things to you, words coming from your mouth are "women talk too much". Where are our winning chances.Oh I do and trust me I love 'love making' not sex love making sema mama understand men are not mind readers wanawake wengi wanafikiri a man will just know what's the right thing to do by you, if it were up to men unafikiri ningekuwa na courting...... nah sasa siku mko wote initiate au mwambie what you want so u do it the way you want atleast na wewe uwe satisfied. In short why not make your own paradise why wait for him to make it, guide him, it's that simple
Sent from My BlackBerry Passport
Anatakiwa kila siku / akitaka - atongoze upya ?Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wake ni mpya kwako kila siku.
That's not true bana, mbona u can phrase this in a sentence au just find some time show him what u want if words fail use actions, like here or there, try this don't do this it doesn't have to be a never ending narration. It isn't a competition, don't make it into oneYou are not mind readers and when we try to explain things to you, words coming from your mouth are "women talk too much". Where are our winning chances.
Pore sky maji yamefika shingoniHii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
umeolewa lini hadi uyajue hayaHii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Kuna vitabia huwa mnavyo nuinyi wanawake, na vitabia hivyo huwa vinapelekea mwenzio akuone wa kawaida.Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.
Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.