Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Sasa mtu ameweka mizinga yake kichwani, akili ya kufanya maandalizi ansitoa Wapi! Zaidi ya kutafuta usingizi. Km umekubali kuolewa na mlevi vumilia yote.
 
It is always like....[emoji652] [emoji652] [emoji652]

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Sio wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine size zao kubwa. ukimchezea akalainika ndio hata ufeel ugumu bora upande tu ikiwa kavu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Sasa mtu chake bwana umemkubali ndo mmeo hizo ni mali zake muda wowote hata ukikuta anatafuta kick awashe kama bodaboda mwache akiwashe chake tu labda kama mchepuko huyo ndo uje utulalamikie huku kwa mmeo mpeeeeee hata awe yupo golin huku anavuta kiko Vumilia tu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye masikio na asikie,
Mwenye macho na aone,
Mwenye akili na aelewe!
Kusema kweli inakera.....wenye tabia hiyo acheni
Mambo ya kubakwa kila siku yanachosha mkuu.
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.

Mwanamke anatakiwa ajiandae na pia aandaliwe.

Kuna mambo mengi sana kama vile udi kidogo, na manukato mengine yanakuwa yametanda ndani ya chumba, hii tu ni dalili tosha kwamba twaweza kwenda msambweni "anytime".

Hii tabia ya sisi baadhi ya wanaume kijifanya weye ni mjukuu wa mzee Mwambe na unamvamia mamaa haistahiki kabisa.

Hili tendo lataka matayarisho na makubaliano ati!

Tukumbuke mahali ni sehemu ya taratibu tu za kuja kuwa wawili na siyo bei halali ya sokoni.
 
Hata kama Smart911 inakera sana.. Yani mtu you just focus on fuckng tu. No time to talk to me mawili matatu tucheke tushee updates za siku loool! hapana penda hii my king.. Tukae tuzungumze mawili matatu sweetlove

Mahondaw wa Smart911
Hayo yanakuwaga matokea ya a bad start... Means you guys are just *** mates not friends/lovers...

Kwenye mapenzi u- gentleman ukizidi sana hayo ndiyo matokeo...

Ndiyo maana mimi to you times am a gentlemen, times am bad, nakukimbiza mchaka mchaka... Which tumekuwa kama mapacha... Utani, mapenzi, kuongea, and ofcoz good sex...

# Love you Super Dear #
 
Kweli kbsaa waambie, mi sikupi wallah nakusukumw hukooo.
 
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika kitandani anataka aende golini tu.

Mnalalamika kuwa hata mfanye nini haturidhiki, haya hamyaoni kuwa ni maudhi? Msijenge mazoea hembu jaribu kumuoana mke wako ni mpya kwako kila siku.
Umeolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom