Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

Kuna vitabia huwa mnavyo nuinyi wanawake, na vitabia hivyo huwa vinapelekea mwenzio akuone wa kawaida.
Pia kuparamiwa mnasababisha ninyi wenyewe
Umuoe Halafu Akupe Masharti Ya Kufanya Mapenzi Hapo Lazima Upalamiwe Tu Hakuna Namna
 
Wanawake wa kizazi hiki wanalia sana karidhishwa thatz why ndoa hazidumu, cheatng zimekua nyingi mno kisa tu mtu kasikia utafiti umesema 80% wanawake hawafiki kileleni.
Mama zetu walidumu kwny ndoa coz walikua hawajui kua mwanamke anafika kileleni? Au walikua wanafikishwa?

Swali langu: Why sex?
Reproduction or starehe?
Sisi sio mama zenu.
 
Hamna cha Upya, Used Ni Used tuu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hamna cha Upya, Used Ni Used tuu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Hata shati ulilolivaa unalifua na kulipiga pasi au utaliita used halifai kupigwa pasi?
 
Hata shati ulilolivaa unalifua na kulipiga pasi au utaliita used halifai kupigwa pasi?
Huo sio mfano hai, minaongea Hali Halisi.. Shoo Ya Mke Na Ya Mchepuko ni vtu viwil tofaut.. Na nyie Si Mnajidaigi Hamjui Mambo Mengne Mnajidai Wife Material... wakat akienda kwa Mchepuko Anakutana Na Vitu Adimu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Tukianza kuwalamba nyeti zenu...mnasema tumebadilika, zamani tulikuwa wap kuwafanyia hivo.....yani kwa kifupi hamridhiki...
 
Back
Top Bottom