Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
boring sana yaani
umeona eeeeh tumvumilie tu
boring sana yaani
Mwaka na nusu
Acha uongo wewe.ukimtahiri mdogo itabidi siku akaiongeze kwa mganga.
huwez kujua haya mambo wakat fikra yako iko makalion....... Acha fikra kuish kwa ndoto
Kuna tetesi kwamba ukimtahiri mtoto akiwa mdogo viungo vyake vya uzazi havikui sana ukilinganisha na waliotahiriwa wakiwa above ten. Hekima izingatiwe please.
Najua wapo waliotahoriwa wakiwa wadogo naomba wanisaidie maana Nina vidume vyangu vinaniweka njia panda.

Yaani unavyogegedwa wowowo basi na fikra zako zinakutuma kwamba kuna wengine wanafikiria kupitia huko?? Acha mchezo wako mchafu upate kuwa na akili wewe.
lakn hyo ni stage tu. Ikipita utaacha
shem... nilitaka kukuuliza 'umenaniliwa' ukiwa na umri gani!!! ila nimeghairi...
Acha uongo wewe.ukimtahiri mdogo itabidi siku akaiongeze kwa mganga.