jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
connecting failed..........again??????????

sijakuuliza wewe...Amepasuliwa njia akiwa na miaka 9 huyo.
Kama ni huyu nitakuona miss neddy
sijakuuliza wewe...
kwani niliuliza aliyempasua... acha kudakia train kwa mbele....Ndio hujaniuliza mimi ila najua ndio maana nikamjibia.utajuaje kama mimi ndio nilimpasua?
Kuna tetesi kwamba ukimtahiri mtoto akiwa mdogo viungo vyake vya uzazi havikui sana ukilinganisha na waliotahiriwa wakiwa above ten. Hekima izingatiwe please.
Najua wapo waliotahoriwa wakiwa wadogo naomba wanisaidie maana Nina vidume vyangu vinaniweka njia panda.