Kwa wanaume wenye hekima

Kwa wanaume wenye hekima

Hivi utafiti na miss neddy Mimi natafuta ushauri nyie badala ya kunihelp mnakuja kusalimiana hapa na kuambiana habari za taifa sasa msiponipa mwanga mnataka nifanyaje pale kati.
 
Kwa maana hiyo unataka kusema wale wote wenye mikono ya sweta mpaka leo basi wote wana mihogo ya kutosha? Epuka fikra potofu, mkimbize mwanao hospitali mapema.
 
Hivi utafiti na miss neddy Mimi natafuta ushauri nyie badala ya kunihelp mnakuja kusalimiana hapa na kuambiana habari za taifa sasa msiponipa mwanga mnataka nifanyaje pale kati.

hahahaha usijali mkuu tuambie kwanza watoto wana umri gani kwa sasa
 
Si ufate mafundisho ya Yesu, kwani alitahiriwa ana umri gani?
 
wewe si bure...
vituo vya ushauri wa magonjwa ya akili vifunguliwe kwa wingi tz.

Tatizo lenu watanzania hampendi ukweli na kusaidiana kwa moyo wa dhati.kama huamini ni PM dada kisha utajionea mwenye pipe la Songas.
 
wewe si bure...
vituo vya ushauri wa magonjwa ya akili vifunguliwe kwa wingi tz.

Tatizo lenu watanzania hampendi ukweli na kusaidiana kwa moyo wa dhati.kama huamini ni PM dada kisha utajionea mwenye pipe la Songas.Na siajabu wewe ukanipa milioni.
 
Back
Top Bottom