Unajua nilikuwa najiuliza ilikuwaje Baba Ubaya apost kitu mturi kama hiki, du kumbe ni bonge la thread mimi nabofya hapo kwenye forgive kwanza.samahani, nimeona niwasaidie tu ili muione vizuri, natoka tena, bye
![]()
Ningebonyeza sehemu mbili fasta! give beer and Sex
clean!
Teeeh teeeeeh
Kamwambie mtengenezaji aweke button ya "Follow Me"
Ningeshangaa Sajent kubonyeza kwenye 'forgive', pamoja mkuu, hivyo vibonyezo vya kwenye give me vinavutia kubonyeza:bange:Sex button...:israel: