Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

Mambo mengine hayafai hapa jamvini lol! Dada umepinda sijapata kuona lol!

Manake kwa uzoefu wangu kama vidole vimeachana kwa nafasi kubwa...hivi mfereji wa Suez ukoje vile?

Anga za Fidel hizo kunako SUEZ canal
 
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!

[

Asprin kumbuka kuna jela na mengineyo ya kibinadamu hivyo usiusemee moyo wako namna hiyo, wengine tuligonga nyundo kadhaa lakini siku tulivyorudi we acha tu unamisi kitu ila sometimes inabidi unaaplyy na chei chei shangazi.!
 
Mambo mengine hayafai hapa jamvini lol! Dada umepinda sijapata kuona lol!

Manake kwa uzoefu wangu kama vidole vimeachana kwa nafasi kubwa...hivi mfereji wa Suez ukoje vile?

mbona mwenyewe anaingia kwa kubanwa banwa..... bado ni suez?
 
Mambo mengine hayafai hapa jamvini lol! Dada umepinda sijapata kuona lol!

Manake kwa uzoefu wangu kama vidole vimeachana kwa nafasi kubwa...hivi mfereji wa Suez ukoje vile?

Hii nayo si kweli Aspirin. Nilikuwa na dame wangu mmoja vidole gumba vya miguuni na kidole kinachofuata kulikuwa kuna nafasi kubwa tu lakini shughuli zake acha! ni mnato wa hali ya juu na ni kitu kidogo dogo halafu kiko very tight. Unaweza ukaahirisha kulala kama ukibahatika kuwa naye usiku.
 
tight siku hizi adimu kaka, hata kama zitakuwa za kichina!nusu saa tu ngoma imerudi palepale!sana sana tight waweza kuzikuta kwenye ile milango yetu ya upenuni!unabisha...........!
 
Inaelekea hii theory wengi wanaijua siyo? Na size ya mdomo nayo ulishaihakiki? Manake uzoefu unaonyesha ni directly proportional!
 
Hilo jembe likilima tu siku ya kwanza lazima likatike maana litakutana na magugu yaliyokomaa
 
tight siku hizi adimu kaka, hata kama zitakuwa za kichina!nusu saa tu ngoma imerudi palepale!sana sana tight waweza kuzikuta kwenye ile milango yetu ya upenuni!unabisha...........!

Halafu wewe..........!:A S 100::A S 100:
 
Askofu yuko wapi naye aje atupe uzoefu wake natumaini INFI askofu ana mwaka wa 20 sasa jembe lake halijui shamba
 
Wakuu nimekumbuka biolojia ya kidato cha sita, mwenzenu sikusoma shule za kata !Kwenye evolution biology kuna law of use and disuse which states that the size of a structure is modified by how much it is used. Kwa maana hiyo kama jembe linatumika sana basi litakuwa kubwa sana lol (Namkumbuka Liyumba) na kama halitumiki basi litapoteza kazi yake (Vestigial organ). Wazee hii vipi?
Huu ndio ukweli wenyewe, na sio jembe tuu, hata upande wa pili.
Viongo vyote vya binadamu vinafanya kazi kwa mtindo wa 'practice makes perfect', the more you use, the better and perfect it becomes.
Wale wadada zetu wa zile 'ofisi za usiku''wanaohudumia wateja watano kwa siku, sio sawa na wake zetu majumbani wa mtenda mmoja kila wiki, ndio maana ukipita tuu kule, basi shurti uanzie kule ukamalizie home!

Huu ni mfano hai wa ukweli, na ulinihusu mimi, nilikuja US na mtu wangu, akapata scholaship ya miaka 4, hivyo mimi nikarudi bongo. Baada ya mwaka mmoja nikarudi US for visit, nilipopata huduma, nikakuta hamna kitu kabisa!. Sikumwambia mhusika, ili alinihakikishia uaminifu wake kwangu wa kukaa mwaka mzima akinisubiri. Visit ilipoisha, nikarejea bongo. Kimoyomoyo nikajisemea kumbe climate ya ulaya inabadili ladha! ndio maana ngozi nyeupe hamna kitu!.

Bongo nikamweleza dr fulani ndio akaniambia, ukisafiri muda mrefu, kama mwenza wako ni mwaminifu wa ukweli, atakapopata huduma, utakuta flat kwa kutotumika muda mrefu mpaka upashe pashe ndipo irudie viwango vyake.

Nilivisit tena US baada ya miaka 2 mingine, this time nilipopata huduma, nikakuta yuko fit!, gess what! ni kesi tuu ilifuatia, na wabongo hawana dogo, haukupita muda sio tuu nikaelezwa, bali mpaka kuonyeshwa aliyekuwa akinisaidia kupasha! kipindi chote wakati sipo. Nilipo uliza, ilikuwa kesi, sio kuombwa msamaha, bali kufunguliwa njia na kuonyeshwa mlango wa kutokea!.
 
Back
Top Bottom