Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

kuna tatizo la kulitatua hapo? lingekuwa tatizo watu msingebobea huko. mpaka kuanzisha na chama! inaonekana inawalipa sana

kama hakuna basi karibu chamani....katibu mpe kadi yake na Asprin pokea mchango wa kiiingilio:becky::welcome::welcome:
 
kuna law ya use and disuse... shingo ya twiga na mkia wa sungura

ni mawazo tu



Hiyo law of use and disuse haina ukweli wowote, haiko scientifically proved.
Tembelea website kisha soma kwa makini ili uelewe.
 
Mwacheni kaka wa watu ajikalie na jembe lake. Hakuna ushahid wa kisayansi unaosema kuwa jembe lisipotumika litaharibika.
Hizo theory za kina Darwin na mwenzake Lamack hazina ukweli woowte.
Katika karne hii ya sayansi hivi bado kuna watu wanaamini theory kama hizo??????
Mojawapo ya theory za evolution of man zinasema kuwa binadamu alianza kama nyani. Dunia ya sasa ni nzuri kuliko ile ya zamani kwa maana kwamba ina vitu vizuri vizuri na vya kupendeza. Mbona hawa nyani wa sasa hawatamani kuwa wanadamu???????? Tafakari kisha chukua hatua!!!

Tembeleni websites zifuatazo kisha zisomeni kwa makini ili muone jinsi Darwin na Lamarck walivyoumbuliwa.

Harun Yahya - The Evolution Deceit - introduction

THE EVOLUTION IMPASSE II - Harun Yahya

Harun Yahya - Lamarckism - Download Page

Harun Yahya - Darwinism Refuted - Immunity, "Vestigal Oragans" and Embryology

CONFESSIONS OF THE EVOLUTIONISTS - HARUN YAHYA


SWALI KWA WANA-JF:

Kwa nini picha zimwonyeshazo binadamu wa kwanza ktk theory of evolution of man zinaonyesha kuwa mtu mweusi ndo alikuwa nyani/sokwe na kisha kubadilika polepole with time na hatimae kuwa mtu mweusi kamili???? Je, watu weupe hawakuanza kama manyani/masokwe???
Kwa nini zikichorwa picha kuwakirisha malaika basi zinachorwa picha za watu weupe????? Ina maana hakuna malaika weusi???

:A S 103:
 
Ninyi mabinti mnafuata nini huku jandoni?
mkipata mimba zisizo na baba msilaumu bure hapa. Hasa we Nyamayao unajifanya unaifahamu sana bakora kuliko mwenye bakora.
LOL ninyi wambeya kweli kweli.
ASPIRIN tuwasute hawa

Msaniii...umenivunja mbavu, ngoja niandae na mie msuto wangu....mie naujua bwana kwani c ninautumiaga kila cku?
 
kama hakuna basi karibu chamani....katibu mpe kadi yake na Asprin pokea mchango wa kiiingilio:becky::welcome::welcome:

Neno lako mwenyekiti ni Amri..... Fixed Point njoo chukua risiti. St. Roya Roy ameshakulipia tayari!
 
Miaka 10? huko anakoishi hakuna wanawake? hata wa kununua kwa masaa machache? au anaondoka na nyeto sana?

Mie bora nikae miaka kumi kuliko wanawake wa masaa/wakununua...... nakuwa si enjoy maana shughuli yangu ni pevu na hawa wao wanataka ushushe fasta ili wakagange njaa...
 
Miaka 10?? siku likipata shamba kitakachotoka humo ni kama risasi. Kisipogonga ukuta kinaweza kutua umbali wa mita 10.
 
Back
Top Bottom