Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,147
2,000
Hahaha et "chapa ilale sitaki shoboo"....mkuu kuoa/kuolewa ni kitu cha ajabu sana ambacho kinatokea muda wowote pasipo kutegemea mpaka mwenyewe unabaki unashangaa hivi kweli mimi/fulani anaoa/anaolewa...ndoa achana nayo nothing can stop it kama ikiamua kutokea
From expirence vijana wengi wa mjini sizungumzii waliozaliwa mijini hapa nazungumzia wenye mtindo wa maisha ya mjini hawa asi

Ukizoea hii michezo ya one night stand huwezi mwamini mwanamke sababu mabigwa wa kuchukua wake za watu ni watu waliozoea hii michezo, na wake za watu asilimia 90 wengi hizi ndio show zao anazinguliwa na jamaa siku akitoa papuchi akirudi home nafsi inamsuta kasaliti ndoa unashangaa anafuta na namba ya mwamba nakuipiga black list

Au ile mpo club jamaa kaja na manzi yake ila from now where manzi inadata na wewe unashangaa umeomba namba umepewa kesho unamtafuta anakupa show ila anakwambia na mtu so tusitasumbuane

Dada ndani ya ndoa kazinguana na jamaa yake anamua atoke out akapunguze stress anatupia mipombe ajitambui balia anamuotea dada kwa stress akiamini anamkoa mumewe anatoa papuchi kesho akili inamkaa sawa anajutia

Sasa mtu aliyozoea hizi akioa au kuolewa anakuwa na hizi hisia kuwa atapigiwa cause kazoea pigia wenzie michezo mibaya sana hii

Kwa uzoefu wangu niliishi maisha sehemu furani sina permanent girl friend jamaa wakawa wananiona wa ajabu ila nilikuwa ni bigwa wakuwapigia madem zao so nikawaga nawachora tu wakikumbatiana nini ila hao madem zao walikuwa wakijimix shobo sh shem mazingira yakiwa mazuri napita sirudi tena

Unakuta upo mkoa X jamaa yako anakwambia dem wangu yupo uko ebu mcheck unamwambia pouwa mpe namba galfa manzi anakupigia unanamwambia okay takucheck jioni kweli juoni unamwita mazingira rafiki kama mtu wa vyombo unamuwahi kabisa shem natamani tukae hapa sasa jamaa akijua itakuwa siyo vizuri kama vipi mwambie tumeachana ili uwe huru hawa wabinti wa kileo wanavyopenda raha mda huo huo anajibu pouwa basi vyombo vyombo hiyo siku unamuacha tena umkirudisha na pesa ya supu unampa kesho jioni ukimwita tena vyombo vyombo.ukiomba papuchi abishi anakupa urudi tena umeona

Hiyo zamani sasa hapana tushazeeka
 
Sep 19, 2019
88
125

Hahaha,asante mkuu ndo maana ONE NIGHT STAND sio kwa kila mtu kama tu ilivo elimu,kama ilivo pesa,kama ilivo ndoa,kama yalivo mapenzi..nk..nk..na mimi lengo langu sio kutaka kila mtu ashiriki,bali wale wenye "SAME-MIND-SET" tu na ndo hao nimeanzisha kwaajili yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom