Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

Hii nzuri sana tatizo moja ukizoea one night stand, huwezi kuishi na mume au mke utaona ni kero tena balaa maana ujazoea jam jam za ajabu ajabu

Asilimia kubwa ya vijana ke na me tunaowalazimisha waoe au waolewe mpaka familia zinaitana vikao ni wale waluozoea michezo hii ya chapa ilale sitaki shobo
Hahaha et "chapa ilale sitaki shoboo"....mkuu kuoa/kuolewa ni kitu cha ajabu sana ambacho kinatokea muda wowote pasipo kutegemea mpaka mwenyewe unabaki unashangaa hivi kweli mimi/fulani anaoa/anaolewa...ndoa achana nayo nothing can stop it kama ikiamua kutokea
 
KUTONGOZANA kuna kera maana maneno ni yale yale kila siku tunatumia kuambiana
KU-DATE kunapoteza muda na pesa piaa
MAPENZI well hiki ni kipaji ama karama ya wachache..istoshe hata mfanyeje mtaachana tu
NDOA sasa hii ndo balaa....fumbo la enzi na enzii

kwa kifupi sio wote tunaweza kufanya au kujihusisha na vitu nilivovitaja hapo juu pengine sababu ya muda,malengo,umri,sababu binafsi..kama vile kutaka kuwa huru na kufanya mambo yako bila kero ama kuulizwa ulizwa na kupelekeshwa na mtu mwingine,na sababu nyingine nyingi.

ONE NIGHT STAND ina faida nyingi,ikiwemo ku kukutanisha na watu mbali mbali,kutibu hisia ambazo zingekupotezea muda kumuwaza EX,mpenzi ambae hajielewi,crush,au hata mtu wako kipenzi aliyefariki.....au maumivu ya mahusiano mbali mbali uliyopitia.

Napenda ONE NIGHT STAND mpaka natamani ningepata wadau kadhaa tukaanzisha community yetu pia Tz

Kama unapenda ONE NIGHT STAND kama mimi,karibu sana PM

Kwa atakae penda tuanzishe community ya ONE NIGHT STAND pia nakaribisha mawazo PM

REMEMBER; play safe mates

NB: kama mpaka sasa hujui maana ya ONE NIGHT STAND nahisi hapa si mahala pako.

"We're captives of our own identity,living in prisons of our own creation".
wewe ni ke/me?
 
Usiku mmoja uliosimama givi ndio manaa yake kiswahili

Ila hii one night acha tu
Kama mtu anashindwa hata ku-google maana yake,huyo mtu hafai kwenye jamii ya ONE NIGHT STAND maana hii jamii inahitaji watu waelewa na wastaarabu sana pia(Highly Civilized people)
 
Back
Top Bottom