Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

Kwa wanaopenda ONE NIGHT STAND

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
310
KUTONGOZANA kuna kera maana maneno ni yale yale kila siku tunatumia kuambiana
KU-DATE kunapoteza muda na pesa piaa
MAPENZI well hiki ni kipaji ama karama ya wachache..istoshe hata mfanyeje mtaachana tu
NDOA sasa hii ndo balaa....fumbo la enzi na enzii

kwa kifupi sio wote tunaweza kufanya au kujihusisha na vitu nilivovitaja hapo juu pengine sababu ya muda,malengo,umri,sababu binafsi..kama vile kutaka kuwa huru na kufanya mambo yako bila kero ama kuulizwa ulizwa na kupelekeshwa na mtu mwingine,na sababu nyingine nyingi.

ONE NIGHT STAND ina faida nyingi,ikiwemo ku kukutanisha na watu mbali mbali,kutibu hisia ambazo zingekupotezea muda kumuwaza EX,mpenzi ambae hajielewi,crush,au hata mtu wako kipenzi aliyefariki.....au maumivu ya mahusiano mbali mbali uliyopitia.

Napenda ONE NIGHT STAND mpaka natamani ningepata wadau kadhaa tukaanzisha community yetu pia Tz

Kama unapenda ONE NIGHT STAND kama mimi,karibu sana PM

Kwa atakae penda tuanzishe community ya ONE NIGHT STAND pia nakaribisha mawazo PM

ANGALIZO: "ONE NIGHT STAND sio kununua MALAYA/CHANGUDOA".

REMEMBER; play safe mates

NB: kama mpaka sasa hujui maana ya ONE NIGHT STAND nahisi hapa si mahala pako.
one night stand.jpg


"We're captives of our own identity,living in prisons of our own creation".
 
Wenzenu wanasisitiza mtumie karantini kutafakari njia creative na kuwazua ni jinsi ipi uta kuja kutake over baada ya corona.. unawaza one night ....View attachment 1409418

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki....mada za corona nenda Siasa kule ama hoja mchanganyiko ukishindwa hata Kenya news sio mbaya
 
Hivi kwenye one night stand uwa mnapimana? Au ndio mnatumia kinga then oral sex kama kawa kawaida mixer ma deep kissing
Watu wanajidanganya, fikiria mtu ananyonya K na kuingiza ulimi katika kinyeo, ila akitaka kuweka dushe anavaa condo m Hivi wanakuwa wanazuia mimba au Ukimwi? Ndo maana wengi wanaoupata ukimwi ni hii one night
 
Hili ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki....mada za corona nenda Siasa kule ama hoja mchanganyiko ukishindwa hata Kenya news sio mbaya
Hiyo siasa imekujaje hapo.. hivi akili yako kumbe ni fupi kiasi hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Korona ni jang linalogusa hata hiyo mahusiano yenyewe .. AMKA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom