Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchum...
Elimu mbovu imekuja kipind cha ndalichako au? Ubovu ulianzia enz za jk!! Hivyo hupaswi kumlaumu ndalichako, labda kama una agenda za madrasa mana huwa mnapiga vita toka enzi akiwa katibu mkuu wa hiyo wizara, jk kuona maneno yamekuwa mengi kutoka madrasa ikabdi amtoe tu.
 
Pole sana kijana,, naona kabisa jinsi unavyoona giza mbele yako.
Hili zigo unalomtwisha Ndalichako si zigo lake peke yake. Mfumo mzima wa serikali unawajibika katika hili....
Inabidi watu kama hawa baadhi ya nchi zingine unawaweka kizuizini yaani unafreez elimu yake maana FOCUS za uongozi wake hazina tija kwa nchi
 
Elimu mbovu imekuja kipind cha ndalichako au? Ubovu ulianzia enz za jk!! Hivyo hupaswi kumlaumu ndalichako, labda kama una agenda za madrasa mana huwa mnapiga vita toka enzi akiwa katibu mkuu wa hiyo wizara, jk kuona maneno yamekuwa mengi kutoka madrasa ikabdi amtoe tu.
Mkuu kama hufahamu kabla ya kupata kuteuliwa kuwa waziri amekua KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU zaidi ya miaka 20 yupo pale..ndio Manana tnataka watu wapya na wenye focus mpya
 
Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi

Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu sio kitu kinachoweza kumkomboa mtu kiuchumi au
Ndalichako ni mkongwe kwenye tasnia ya elimu toka enzi za mkapa . Kumbuka Ndalichako alikuepo katibu mkuu Baraza la mitihani necta. Kukuosekana Kwa Ajira ni kosa la kiongozi wa juu kabisa . Ukosekano wa viwanda . Hamna Ajira bila viwanda
 
Mkuu namlaumu kwa sababu amekaa pale zaidi ya miaka 20 isiyokua na faida kwa nchi.
Ajira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate s
 
Lengo la elimu ni kutoa ufahamu uweze ku ya master mazingira Sasa bongo tunalaumiana bure ni vile ni magoigoi wa kutazama fursa ukichangia na ujamaa ulitulemaza Nigeria Kuna wasomi wengi kiasi PhD holder ni madereva na Ili kutatua changamoto ya ajira wameamua kusambaa duniani ku grad opportunities na hawachagui kazi.
Shida mkuu tumeweka mipaka katika fikra zetu kwamba kazi ya msomi ni hii na hii asiye soma ni hii na hii kitu ambacho sio sahihi kabisa.
 
Ajira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate s

Ajira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate s
Pakianzishwa mifumo yenye kutoa ujuzi wa DO IT YOURSELF na pakawa na linki ya mitaji kwa wasomi watapunguza kundi hili linalopoteza muda kisa ELIMU

Rejea serikali ya ccm inatoa mikopo kwa vijana kila wilaya 4% asilimia hii haiangalii una ujuzi au huna kinachomata ni vikundi
Sasa kama waziri ameshindwa kubuni kwa kushirikiana na washikadau wengine kuunda mifumo na yupo pale juu ndio maana tunasema degree za sasa ni uchafu maana serikali kupitia wizara ya elimu uwezo wao wa kufikiria umeishi pale wanatakiwa watu wenye mawazo mapya
 
Kipimo cha "thamani" ujuzi itumike kulingana na muda uliotumia
Mfano unasoma miaka mingi kupata ujuzi basi utumie maisha yako katika ujuzi huo sio kutapatapa
Na hii sio kila mtu anaweza ndio maana inatakiwa kwenye mfumo wa elimu wakae watu smart na kwa kuanza tuna angalia aliyop juu amefanikiwa katika hili?
Kwa maelezo yako shida iko wapi kwenye mfumo wa elimu au kwa wahitimu?

na je wenye degree ndo wanao pitia maisha magumu Sana kuliko wasio Soma?
 
Kwa maelezo yako shida iko wapi kwenye mfumo wa elimu au kwa wahitimu?

na je wenye degree ndo wanao pitia maisha magumu Sana kuliko wasio Soma
Ugumu wa maisha upo kwa wote maana tanzani ni miongoni mwa nchi maskini.

Mfumo ndio tatizo mkuu mhitimu hana kosa kasoma mitaala ya miaka 1800 au kasoma fomula ambazo hazipo katika mazingira yake na kaaminishwa chuoni kuishi maisha ambayo mtaani hayapo baada ya hapo yupo kitaa sio kosa lake.

Unajua nini maana ya elimu kichumi kwa mtu mmoja mmoja?
 
Pakianzishwa mifumo yenye kutoa ujuzi wa DO IT YOURSELF na pakawa na linki ya mitaji kwa wasomi watapunguza kundi hili linalopoteza muda kisa ELIMU...
Una chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwa
 
Una chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwa
Mkuu sina chuki na mama yangu ndalichako walikuepo hao wote ila kwa vipindi tofaouti nalawama lazima zilikuepo kwa vipindi vyao vya uongozi ila kwa sasa huwezi kusema hawafai maana hawapo, kwa kuanza tuna anza na iliyekuepo kama tuna taka kuaona mbele
 
Shida mkuu tumeweka mipaka katika fikra zetu kwamba kazi ya msomi ni hii na hii asiye soma ni hii na hii kitu ambacho sio sahihi kabisa.
Uko sahihi lengo kuu la elimu la kwanza ni kufuta ujinga na kuwezesha matumizi ya akili, mwenye elimu na maarifa hata akifanya biashara anapiga hatua kuliko asiye na shule
 
Una chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwa
Amesahau na Waziri Mlugo alisemaga Tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Zimbwabwe
 
Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi

Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu sio kitu kinachoweza kumkomboa mtu kiuchumi au
Wewe mwenyewe inaonekana bado hunauelewa, huhui kazi za waziri na nafasi ya mwanafunzi, nikuulize maswali ukijibu then nitakupa majibu:

1. Je, waziri wa Elimu ni kazi yake kutengeneza ajira?

2. Unataka kunambia wanafunzi wanaomaliza vyuo wote ni vilaza hana weledi ya kufanya kazi katika fani mbalimbali?

3. Unafikiri waziri wa elimu ana weza kufanya mabadiriko ya mifumo ya elimu?

4. Je, unafikiri kuwa hakuna graduate wenye taaluma mbali mbali km za ufunzi, biashara na nk? ka wapo kwa nini bado wanasubiri kuajiliwa? unataka waziri wa elimu aje awafundishe kujiajiri wakati vyuoni wameshafundishwa?

5. Kuna vijana nawafahamu walimaliza SUA ifugaji wa samaki, lkn wapo mjini wanauza pumba na mifugo, wkt huko mikoani kuna mito isiyokauka msimu mzima.
 
Mind your tongue! " You will sleep inside "
Kwa kosa lipi mkuu kwani mtaani mambo si yanaonekana mkuu WASOMI kibao na hawana ndoto walizozitimiza baada ya kukuta hakuna mazingira ya ndoto zao nakuamua kuishi kwa nature iliyopo na amepoteza muda na madeni juu
 
Hilo la kumlaumu Ndalichako nalo ni 'undaza' au 'upugi'

Kwani Ndalichako ndo kamshikia mtu fimbo aende class?

Nchi hii parasite mnyonya damu ni CCM na mfumo wao angamizi. Ndalichako upstairs yupo vzr sana, Sasa nzi wa kijani wamemzunguka, akijifanya kufungua mdomo tu wanajaa mdomoni na kumuambukiza kuharisha! Atasalimika????
 
Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi...
Japo elimu ya Tanzania ni timing bomb ila sioni hapo Dalichako anahusika je, mfumo wa elimu wa Tanzania niwasiku nyingi na umeidwa kisiasa ndo maana watu kama Ndalichako wanaongoza hiyo wizara bila matatizo kwa sabb nawanyewe ni wa bomvu, ni watu wakutoa matamko tu.
 
Back
Top Bottom