kweli wanaume tumeumbwa kiajabu...
mie nikiona pua ya shemeji Dinazarde nasikia raha ya ajabu sana
ndo mana napenda kuiangalia kila saa
nakubaliana nawe mkuu..
hahaa!! mara huku Dinazarde mara kulia Evelyn Salt! safi sana lusungo.. you are you now!
Yuck!!! Excel.... unataka kuvunja urafiku kwa kunilisha makoro koro eee? Kuja ujitetee.Usitake kabisa kuijua kiundani ila kwa dokezo tu kuna kinachokamuliwa kwenye utumbo wa chakula afu mix ya nyongo..unaweza kutapika!
Mwita Maranya
Bring it ASAP kwani leo niko lindo, usingizi marufuku.
hahahahaaa!!! are you you?
goodmorning!
Karucee come on! Arushaone has something personal with you! wala asitumie hii nafasi hata kidogo!Yuck!!! Excel.... unataka kuvunja urafiku kwa kunilisha makoro koro eee? Kuja ujitetee.
Hapa nilipo nl jioni ya saa 10:35 saa ya kiswahili mkuu.
Aka mie. This thing might make me bitter and violent. Ngastuka!!Karucee come on! Arushaone has something personal with you! wala asitumie hii nafasi hata kidogo!
kichuri is a catalyst to easy flow of food and it influences fast digestion of food!
nakupa assignment karucee, go and investigate why most of the kuryaz are energetic and have confidence at everything they do and everywhere they are, they fight for each other and for whats right!!
do it beautiful!
Nipo salama kabisa,leo uonje kichuri utakuja nipa majibu humu
Lindo siliachi mpz, salam za Mbaba Kaizer zimefika. Nawe wape zetu Mwalimu, Mwanyasi Dark City na kijana CHUAKACHARA