Kwa wanajamii wote tafadhali!

Kwa wanajamii wote tafadhali!

Haya bwanaaaa. Ulale salama na wengine woteee. Na wasiokuwa na usingizi tuitane tutie hadisi. Mi nitaleta ubuyu wa Unguja pale mtaa wa Kiponda.

Bring it ASAP kwani leo niko lindo, usingizi marufuku.
 
mine is brilliant.. kila wakati nikiiangalia hio avatar natabasam!

napenda sana mwanya!


kweli wanaume tumeumbwa kiajabu...

mie nikiona pua ya shemeji Dinazarde nasikia raha ya ajabu sana

ndo mana napenda kuiangalia kila saa

nakubaliana nawe mkuu..
 
Hulali? Za kupotea lakini?

Mimi niko pouwer, nilikuwa kwenye mchakato wa udiwani Sombetini Arusha, sasa niko Jimboni Kalenga, nafanya logistics mwanamama wetu CDM ashinde! Salaam zao hapo home, msalimie sana mazaa!
 
Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha yetu ya kila siku.

Pia namshukuru M.Mungu kwa kua nipo hai kwa kunipa pumzi ya bure kabisa ambayo siilipii na mzima wa afya,
Nachukua fursa hii kuwaombea wagonjwa ,wasiojiweza, ,Muumba awatie nguvu mrudie katika hali zenu za kawaida
Pia roho wachafu, umaskini,mashetani yashindwe na yalegee kwa uwezo wa alietuumba na kutupa mamlaka katika dunia hii.
Pia tuwe wavumilivu kama Ayubu, tujifunze kusamehe kama Mola wetu anavyotusamehe makosa yetu
NAWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NDOTO NZURI
nawapenda nyote,!!

Asante shemeji..

mie na my wife Evelyn Salt tunakutakia usiku mwema

wasalaam..
 
Last edited by a moderator:

kweli wanaume tumeumbwa kiajabu...

mie nikiona pua ya shemeji Dinazarde nasikia raha ya ajababu sana

ndo mana napenda kuiangalia kila saa

nakubaliana nawe mkuu..

Shikamoo mkubwa!
 
Mi nilishawahimkuila hiimkitu kichuri break point K nyama, taaamu sana Arushaone,

Nami nilishawahi kuitumia palepale Break Point oposite na jumba la LAPF, nilikuwa na jamaa flani wajaluo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom