Kwa wanajamii wote tafadhali!

Kwa wanajamii wote tafadhali!

Haya bwanaaaa. Ulale salama na wengine woteee. Na wasiokuwa na usingizi tuitane tutie hadisi. Mi nitaleta ubuyu wa Unguja pale mtaa wa Kiponda.

Haya, anza kuleta hadisi...
Mie nimekuja na gahwa kidogo ili usisinzie..
 
Kichuri ndo nini?

kichuri ni mixture tamu saana inayotengenezwa kiasili na mkurya.. kila achinjwapo mbuzi ama ng'ombe, hiyo kitu lazima itengenezwa kwa ajili ya kusindikizia mlo!

its very sweet!
 
kichuri ni mixture tamu saana inayotengenezwa kiasili na mkurya.. kila achinjwapo mbuzi ama ng'ombe, hiyo kitu lazima itengenezwa kwa ajili ya kusindikizia mlo!

its very sweet!
Hata iwe tamu. Naomba kujua ingredients zake na inatengezwaje best.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
KOKUTONA na Eli79!

please enjoy this stuff!

msiogope kuserebuka jamani!



hapa sasa nataka nione koku akienda chini... akirudi juu!!

eli nae, hivyo hivyo!!

hahahaaa!!
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA na Eli79!

please enjoy this stuff!

msiogope kuserebuka jamani!



hapa sasa nataka nione koku akienda chini... akirudi juu!!

eli nae, hivyo hivyo!!

hahahaaa!!


Hah haaaa haaaaa, du hii ndo ngwasuma ehhhhh,
Mume wangu Elli79 huu muda si ni wa muziki laiiini saaana kwa bed na shuka moja kwa sisi wawili.
Excel ahsante, you made my nite nimecheka sana nika imagine na Elli79 wangu tukivurugika stejini.
 
Last edited by a moderator:
Ooooh.. So sweet hun!!! Excel, ain't any crushes here...we're in love meen!
get yourself a heavy blanket, that's if you live up in the north! Otherwise an AC would be of help.

Yes, we are honey, deep in love
Kisses honey
 
Back
Top Bottom