Mhhhhhh!!!!!!
Mimi mwenyewe nisha kula kichuri na nilikipenda kwa kweli
sasa koku na mimi nani muongeaji? mi namjuua koku a to z cheziya tanga wewe watu8 alikaba mwanahuo hadi dakikaya 120 ...mmmhSmile bado yupo kijitonyama mwisho!
unajua huyu binti ana aibu sana kama Heaven on Earth! hawezi kusema mbele za watu!
she is not a :blabla: woman..! sio kama koku bana! kila wakti ni:dance:!!
sasa koku na mimi nani muongeaji? mi namjuua koku a to z cheziya tanga wewe watu8 alikaba mwanahuo hadi dakikaya 120 ...mmmh
Ulikua wapi jana? Inaonyesha hujalala home ngoja nikusemee
aliniamisha mjini kanileta shamba huku!eti mjini mabazazi wengi.cc Mentor
sasa hivi pigamamii nimesema wewe sio mwongeaji! i know you! you speak where you are asked and interested only..!
sio vinginevyo!
:cell: nikupigie saa ngapi mamii?
ahahaaa mama yupi nisiempenda bana? wakati ndo wameniweka mujini? mama mende nini? eheheeee ...ngoja na mimi niolewe sasa aisee madogo wanaolewa mi nipo tu?
Mamaae...daadeq..classmate upo kijiji gani unanawiri hivyo..niwie tu radhi kwa kushangaa in pabliki!
Af mi sio bazazi...waulize malekchara wangu wote watakuambia...btw yule mama usiyempenda juzi kaoza kijana wake aisee!!!
nimkate? kivipi?
nilimaanisha mkatae hadharani afungashe virago haraka huku baridi imezidi
ahahaaa mama yupi nisiempenda bana? wakati ndo wameniweka mujini? mama mende nini? eheheeee ...ngoja na mimi niolewe sasa aisee madogo wanaolewa mi nipo tu?
Sikuiona hiii, etiii??