Uchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Watanzania wameamua kuchagua.
Lakini kila siku mnasema tumtangulize MunguYa MUNGU mwachie MUNGU usichanganye mambo na hoja ya kibwege bwege hapa
CCM ni adui wa kila kiumbe hapa dunianiCCM Kwanza Mungu Baadae.Na wanalitaja Jina la Mungu mara Mbilimbili, tena kwa Kutetemeka. CCM wanasahau Kwa Mungu ni HAKI Kwanza AMANI ni Matunda ya HAKI. Kwa sasa Wanatuimbia Tusimame Kizalendo Kuitetea nchi wanasahau Muda uliopita Kidogo Wametoka Kuwaumiza WAPINZANI wao Na WATANZANIA Kwa Ujumla. Kwa Yaliyotokea Umoja na Mshikamano or UZALENDO ni Ndoto..
Mmmh sawa lakini kumbuka kunamungu jamani nahii nidunia tunapitaMbele ya sisiem yenye kurasa 303 za ilani, hua wanamkana hata Mungu.
Vile vile wanasema msema kweli ndiye mpenzi wa Mungu...!Lakini kila siku mnasema tumtangulize Mungu
Pointi moja shika biblia yako au Msaahafu sema kutoka ndani kuwa uchaguzi ulikuwa na huru na haki na Mungu aoneye sirini atakujazaUchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Watanzania wameamua kuchagua.
Ni kweli Kuna mwenzenu alisema ushindi wa CCM ni lazima Mungu atake asitake ushindi ni lazima bahati mbaya amefariki wiki iliyopita.Hii ni picha halisi kuwa CCM kwenu MUNGU siyo chochote!Uchaguzi umeisha, CCM imeshinda kwa kishindo, Lissu karudi kwa mabwana zake, Mbowe, Sugu, Mdee, Zitto, Lema na wengine wengi watatafuta shughuli zingine za kufanya na sisi tuache malumbano yasiyonatija tuchape kazi.