- Thread starter
- #161
Tumaini Unv 2007-10.Nilipanga Semtema wahehe nao wezi nimewahi ibiwa poti lina ugali usiku.M/Kiti wa mtaa bi Kufakunoga
daaa umenichekesh sana! mwang'ingo pale,jina la ukoo wetu ilo
Tumaini Unv 2007-10.Nilipanga Semtema wahehe nao wezi nimewahi ibiwa poti lina ugali usiku.M/Kiti wa mtaa bi Kufakunoga
daaa umenichekesh sana! mwang'ingo pale,jina la ukoo wetu ilo
Jamani duka la uchi pale iringa mjini mnalikumbuka. Ulikuwa ukenda kununua vitu eti wauzaji wanakuona mweupeee!baada ya kuhabarishwa hvo ckurudi tena.mh ndug yangu usinikumbushe, yule mama eti aliokoka na kuanza kuropoka kuwa alikuwa anafukua makaburi ya kule bondeni kama unaenda kanisa la Roma, mpaka sasa najckia knyaa 7bu niligonga sana supu zake ..mbao (mzee wa povu)ana nyumba maeneo ya tabata kimanga
Jamani duka la uchi pale iringa mjini mnalikumbuka. Ulikuwa ukenda kununua vitu eti wauzaji wanakuona mweupeee!baada ya kuhabarishwa hvo ckurudi tena.
hata songea lipo,wanauza vipodoziJamani duka la uchi pale iringa mjini mnalikumbuka. Ulikuwa ukenda kununua vitu eti wauzaji wanakuona mweupeee!baada ya kuhabarishwa hvo ckurudi tena.
yale maandazi yalikuwa balaa,makubwa na magumu.nilikula 2003-2004.niliamia pale.mkwawa pazuri sanaJamani tujuzeni zaidi juu ya maandazi ya makanyagio mi niliyala sana miaka ya 97 mpaka 99
tena kipindi kile alikuwa na mtoto mgongoni.watu tulikuwa tunajaa,ukichelewa upati nafasi.mi nimeyakuta 2002 na nimeyaacga 2004, sh mia unakula banzi mbili na kikombe cha chai,ila Nelkon (RIP) alimpiku Chuwa maana alileta kideo tulikuwa tunaenda kuangalia kipindi cha CITY SOUND cha Seki Eatv.Saa 1 jion nlikuwa sikosi kila siku,ila mke wa nelkon alikuwa mchafu mbaya
wengi tulikuwa shule.unajua iringa mjini kuna shule nyingi na kongwe toka kipindi kirefu kama mkwawa,tosa,mawerewere,nkHalafu hapa kuna mamluki, ina maana wote nyie mmekaa town tuu, nimependezwa na mtoa maada wa kising'a karibu na kwa kijiji cha waganga cha Isele karibu na kwa wakorofi, walevi, wahuni Lulanzi.
we lazima nakujua manake hao wote me nawajua na kwetu niksribu kabisa na kwakina eric fungo na pia juma mpwisu namfahamu hadi kwao ni pm tuzungumze
ulikuwa na ugurumo,bassu,suzi(mzungu) pamoja na mrehemu(kamanda)chalwe.
Mafinga JKT - nakumbuka kuambiwa "be, nikikaa kimya ujue nimekubali, wewe uniangusage tu".
Midtown na Seneti zina hali gani siku hizi?!
Iringa si mchezo,
Kuna bus moja la zamani sana, limeandikwa vitu laini linatoka kilolo ndani huko !!!!! Nimekaa mitaa ya Ndiwili kwa mtalaam SEKENI, huyu mkinga alikuwa maarufu sana. RIP Sekeni.
Mtwivila primary 1989-1995 na baadae Highlands secondary
Nakumbika pale mtwivila kuna teacher alikuwa anaitwa Misana alikuwa anapiga balaa mliosoma pale jamani tukumbushane wale maticha namkumbula Temba,Mgina,Mandambwe na sasimela yule wa hesabu darasa la tatu alikuwa anapiga fimbo ballaa, nakumbuka mbali sana !! piga sana ulanzi kule kota za UNICEF.