Kwa waliosoma Lugalo sec Iringa early 90s; wapi Kahando jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma Lugalo sec Iringa early 90s; wapi Kahando jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by anjnr, Feb 26, 2012.

 1. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kumtafuta huyu mtu au hata kupata habari zake bila mafanikio. Kahando Sanyagi aka CODO BALANCE, alikuwa msanii na mchekeshaji wa maigizo pale shuleni miaka ya 90 na 92. Kwa anayejua habari zake jamani, yuko wapi siku hizi?
   
 2. E

  Elai Senior Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi ninapita tu. Nillianza 97, na huyo mtu simfahamu.
   
Loading...