Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Nilichowapenda nje yayote

yaani tukikutana tunajuana ila kwa haya majina humu jf hata mama akifufuka simjui hata mmoja na tuendelee hivihivi
 
hahaha..dah!rose n paul luena nilikuwa nao darasa moja toka la kwanza.wapi maulid ally,bohora,aman peter,peter malunda,joymaria mazura,emy francis,noel shiyo.dah!mwal onike,kalabo,mushi,chuma

Dah Mkuu spider
Na wewe ulichezea fimbo za JULIUS

NAAMINI WALIMU wengi walikufakutkana na maishaduni kulinganisha na walivtojitoa kwa wanafunzi kwa kweli

Sina cha kuwapa Mungu awape rehema zao
Ukowaliko
 
Huyo atakuwa ni Abunuwas Msusa, ila sikumbuki kama alikuwa kaka mkuu.
Ngao alifariki miaka zaidi ya 5 iliyopita. Alifia muhimbili, alikuwa na tatizo la nyama zimeota puani, akawa afanyiwe operation. Huwezi amini alienda mwenyewe , akiwa ana drive gari yake, akapack na kuingia hosp. Bahati mbaya sana hakuamka tena... Soo sad.
 
Nilichowapenda nje yayote

yaani tukikutana tunajuana ila kwa haya majina humu jf hata mama akifufuka simjui hata mmoja na tuendelee hivihivi

Enzi tuko darasa la 4 kuna mdada mmoja hivi ni Muasia alijisaidia darasani, tulimzomea sana, hadi teacher James (r.i.p) alitucharaza bakora.
Baada ya miaka mingi kupita, mwaka juzi nikakutana na huyo Muasia Arusha, tukaanza kukumbushana ya shule, tulicheka kama vichaa.
utoto jamani
 
...pensi za blue kushonwa na masista...kile kitambaa kilikuwa matata sanaaa
 
hahaha..dah!rose n paul luena nilikuwa nao darasa moja toka la kwanza.wapi maulid ally,bohora,aman peter,peter malunda,joymaria mazura,emy francis,noel shiyo.dah!mwal onike,kalabo,mushi,chuma

Kalabo alinifundisha hesabu..... alikuwa mkali mama yule loooh!!!Sina hamu nae
 
Mkuu mrangi
Kuna mmoja mamayakr alikuwa mwl mtoto anaitwa samwel unamkumbuka hope not rip

samwel jina lina click hilo .....alafu kulikuwa na bonge la mwalimu sitomsahau siku zote alikuwa na upendo sana alikuwa ansitwa mwl ngongo
 
duh kwikwikwi
 
Dah Mkuu spider
Na wewe ulichezea fimbo za JULIUS

NAAMINI WALIMU wengi walikufakutkana na maishaduni kulinganisha na walivtojitoa kwa wanafunzi kwa kweli

Sina cha kuwapa Mungu awape rehema zao
Ukowaliko

juliuss ashanipagaa kibano sanaa maana mm nlikuwa bngwa wa kuchelewa
 
dahh kweli Forodhani tuko wengi.
Lifti za TTCL nimezibembea sana, nimeiba sana penseli kule Tahafif, Masoud tumemuibia sana.

kali kuliko yote niliendagaa niliendagaa snow cream kula ice cream dah sikuwa na helaaa jamaa wakanifungia hakuna kutokaaa nakumbuka kna baba mmja alinilipiaaaa tamaaa ile iliniponza
 
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???

Ah! Kumbe na wewe ni mmoja kati ya W'funzi wangu?

Embu tujuane vizuri basi!
 
samwel jina lina click hilo .....alafu kulikuwa na bonge la mwalimu sitomsahau siku zote alikuwa na upendo sana alikuwa ansitwa mwl ngongo

Ooh mama ngongo

Huyu utasema akuwa mwl alivyokuwana upendo
Miss u mwl ngongo
 
Jamani Saiwadi alikuwa mzuri....kama pedeshee fulani enzi hizoooo!!!
 
Mmmhhhh ndo ujue mie miss strong....

Afu W'funzi watukutu hata sikua nao (save boys)
Na sikumbuki kuwa na Miss Strong (i hope ni fake id!)

Basi kama vipi panga siku uje kunitembelea kabla sijaretire!
 
Madogo wa dogodogo centre nilikuwa nawaogopa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…