Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsupMi nilimaliza 1989 ,mpoooo LY 89????
Emmanuel Lugina nasikia ni daktari bingwaDah mmenikumbusha mnoo, MI nakumbuka mwal Msaky alikuwa anamtindo wa kucheki usafi wa chupi mkiwa darasa la2,bac Siku hiyo kila mtu atavaa vzr na kujichekesha Sana. Afu nakumbuka toka daras la kwanza tilikuwa twaongoza Na Emmanuel Lugina sijui yupo wapi Siku hiz? Afu alikuwa na dada yake anaitwa Marry Maximilian akiongiza darasa LA Nyumba yeti. Afu kuna toto tundu alikuwa mbele yetu anaitwa Gerald kondowe sijui yupo wap?
Insha Allah Amiin, ni kweli Mwl wenu alipata stroke then the condition didn't get better mpaka anafariki
Mwamba Steve Msaki amefariki janasteven msaki alikuwa na mdogo wake pricela msaki, kuna jamaa alikuwa anaitwa jerry mbwile jerry alikuwa ana mzengea precela dah steve alikuwa ana mmind jerry kna siku tuna rudi home wacha steve amzingue jerry.....nomaaaaa@....pdidy
Poleni sana alimaliza mwaka gani pale forodhani?Mwamba Steve Msaki amefariki jana
Lilian Tairo namkumbuka sana. Alikuwa na tako balaa.Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
Clara Phiri yupo wapi?Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
WW ulikuwa A au B?masoud muuza pipi alienda wapi?
Alikuwa mwalimu wa siasa na alikuwa anamiliki club inaitwa siasa club.Long time aisee...
Mnamkumbuka Mwalimu Mbazigwa?
Picha sina na sijui alimaliza lini ila inaonekana alikuwa kijana wa mjini na niliona jana yule mwana Twitter, Bi. Carlos Ndosi amepost kama mzazi mwenzake kwamba amefariki ndo nikakumbuka huu uziPoleni sana alimaliza mwaka gani pale forodhani?
Una picha yake?
Kupindi hicho yuko ada Estate anakaa tulikuwa ma best sanaPicha sina na sijui alimaliza lini ila inaonekana alikuwa kijana wa mjini na niliona jana yule mwana Twitter, Bi. Carlos Ndosi amepost kama mzazi mwenzake kwamba amefariki ndo nikakumbuka huu uzi
Pia kuna uzi chini hapa niliona huenda info zaidi zitapatikana
TANZIA - Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...www.jamiiforums.com
Itakuwa Dar na kuna uzi humu pia kuna dada kule Twitter alipost kupoteza mzazi mwenzakeAise...kafia wapi
Ova
Mwalimu wa siasa na muasisi wa TAMOFA na siasa clubLong time aisee...
Mnamkumbuka Mwalimu Mbazigwa?
wako hai badooo??Nipo nimemaliza 1989 nawakina ahmed elmaamry,sio Solomon , mringi shayo, sada shaha ,kerin chonya, Martha mpangile,Clara Phillip,Margreth igata,Lilian tairo,Alice lobo , mang'enya,Jemina Gondwe,Zakia dindili .Wana group uko whattsup
maharaba kijana mpooo
nilienda kumxika moshi.mwananwangu sana toka forodhan mpaka mbezi beachKupindi hicho yuko ada Estate anakaa tulikuwa ma best sana
Ova