Tofari zenyewe ni za vibuskuti. Wangechukua zile wanazotengeza wale wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi tuone wakizivunja!
KUNA MATAHIRA na Vichaa sjui nkuweke kundi gan
Bora vipate kutu tukiwa tunavyo
Mpaka sasa wewe binafsi umesha wahi kununua madawati mangapi kwa shule yoyote ile kama msaada?
Hiyo hiyo kodi ndio pia inatumika kununua hivyo vifaa vya kijeshi,
Sijui ni sehemu gani wanachi wametishiwa labda kama kuna mwanajeshi alikuja akakutisha wewe binasi,
Kilicho fanyika jana ni kuonyesha wananchi uwezo tuliofikia kitika zana za kijeshi na kuwaondolea hofu rai wote watanzania dhidu ya adui yeyote. Kama kuna anayekutishia huko mtaani inatakiwa akufinye kisawasawa maaan hata picha huelewi.
Nilitegemea kutakuwa na Picha nying za matukio ya Jana. hadi youtube niliangalia labda kuna update yoyote hakuna> I really need to see what happened.
Shule atasoma nani kama kuna mabomu ya adui yanatua kwenye madarasa? Kuweni wazalendo japo kidogo tu.
ni nchi gani hii??? eti vifaa vya kijeshi vinanunuliwa kupitia dalali wa kihindi (jeetu patel)alafu mnachekelea ujinga huu,watz siku mkipata akili japo robo tu mtauana tusubiri
Na ukishaona kilichotokea kisha iweje?
TAAHIRA NI YULE ANAYESUBIRI ASOMESHEWE MTOTO WAKE NA SERIKALI
afanye kazi hata za kilimo sio kusubiri maandamano na kushabikia siasa
Siasa sasa inaelekea Ulingoni ni lazima tutawaliwe kwa viboko km hamjui kushika SMG
Tutasikia wenzetu wanawapeleka wanawe English Medium, Seco, University, mara China wengine wasubiri madesk ya msaada.
NYUMBA YEYOTE HULINDWA KWANZA NJE ndipo msosi halafu kujiendeleza
Hayo madawati yakijaa na adui akiingia ataanza na Mama zetu Dada na wake zetu AIBU ya nini sasa?
Huyo jamaa ni kilaza tu hajawahi hata kufaulu,jeshi letu lazima liendane na wakati ukizingatia tunawasomi wa kutosha jeshini tofauti na miaka ya nyuma ,waliokuwa wakifeli ndk wanakimbilia jeshi.
Hivi jamani hatuwezi kuomba vita ya kirafiki kwa majirani zetu hawa?
liende na wakati kisiasa au kivifaa. yale mavifaa chakavu yaliyoonyeshwa kule ndiyo unajivunia? you must be lunatic!
jk mburula kweli. nani anatumia hii migari kwenye vita siku hizi? wakati wenzetu wanatumia ndege zisokuwa na rubani sisi bado tunaonyesha migari mibovu? ama kweli aliyeturoga kafa!
you must be sick in marijuana. Sina cha kukujibu
Wanaobeza maonesho sherehe za Muungano za jana wooote, tunawajua kwa majina na sura zenu hapa, hivyo tutawapeleka Somalia mkakae huko kwa mda wa miezi 3, mkirudi nadhani mtajua umuhimu wa maonesho ya jana.
huu ni woga tu. Mtu jasiri na mwenye akili timamu hatangazi silaha zake hadharani.