Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

wewe kweli kilaza sana i see! kuna vita inayoua kuliko hospitali mbovu za serikali? tembelea mortuary uone watanzania wanavyokufa kwa sababu ya ukosefu wa dawa na vifaatiba wewe mburula. usidhani watu wanaokufa kwa risasi ndio muhimu sana.
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif
avatar9021_2.gif

Majinga ndivyp yalivyo
Hata sijui ni kabila gani mijitu inayolialia kila saa
gangamala Mwana-ume mabo ya kujibweteka mpaka ukasubiri MGAWO WA ASPRIN Haospitalini faida yake ndio hiyo.
Srikali yetu ni tofauti na Sudan, DRC au Rwanda UKISHINDWA ISHI TZ nchiya amani basi HAMA kijiji kina zahanati inayotoa matibabu BURE KABISA
FANYA KAZI, FANYA KILIMO AU BIASHARA acha kuandamana-andanmano km machalii wa Kaskazini mnaotaka maisha ya bure/
Kipindi hichi amini JWTZ ni lazima liimarishwe ilikupambana na vtisho vya jamaa yako PK wa RwandaNa huo
ni mkwara tu hakuna atakayesogea
 
Last edited by a moderator:
Adui gani tuliyenaye? Mbona hamtufafanulii?
si hawa vijana wasiojua Uzalendo
si hawa vijana wavivu wanaotaka kujitenga eti waanzishe Inji ya Kaskazini Arusha na Kilimanjaro
su hawa wajinga wanaotaka kumrudisha Sultani Jamsheed
si hawa wajinga wanaoing'angania'DRC waendelee kuiba madini, tukiwaambia wapatane waishi vizuri PK anatishia atatufyeka anga zake
Ule ni mkwara sasa hivi huwezi sikia tena hata vi-maandamano vya kijinga tena JWTZ ipo
 
Hayo makombora yanapoikimbiza ndege yanafuatilia INFRA RED RAYS zinazotoka kwenye injini ya ndege. sasa zipo ndege ambazo ni upto date zaidi zinaweza kuyachangaya hayo makombora.
Hata hiyo ndege ya up-to-date ina kombora lake la kuisambaratisha
Sembuse makombora yenyewe (Missile) yanadunguliwa Scud Israel walizitungua
Tank lipo komora la kubeba begani (Ant-Tank) linaisambaratisha
 
Haa haa haa haaaaaaaa ...... Mbwa alikuwa anatafakari logic ya kuambiwa akae. Atakuwa kachoshwa na serikali mbili huyo:smile-big::smile-big::smile-big:

Utakuwa genious wewe. Si haba, bado tunapeople. Hebu nambie huyo mbwa ni nani augomeaye muungano??
 
Back
Top Bottom