MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
kuna kifaa alau kimoja kati hivyo vilivyooneshwa, kimetengenezwa tanzania?
sikikumbuki lakini kilikuwepo, halafu uache madhararau wewe!!
kuna kifaa alau kimoja kati hivyo vilivyooneshwa, kimetengenezwa tanzania?
Acha ujinga wwe...wwe kungekuwa na hata hizo shule kama nchi isingekuwa na ulinzi wenye vifaa vya kutosha na vya kisasa....Na hvi mbona unapokaa unaweka mlango tena imara wenye kofuli au kitasa cha kisasa kwanza kabla hujanunua hata kijiko kuweka ndani, Au ukiwa unauwezo unaweka mpaka ukuta wenye get kubwa...fikir kabla ya kusema
Au parachutii ilikua na mabomuu labdaaa,acha kumuogopesha mwenzioo
Wanaobeza maonesho sherehe za Muungano za jana wooote, tunawajua kwa majina na sura zenu hapa, hivyo tutawapeleka Somalia mkakae huko kwa mda wa miezi 3, mkirudi nadhani mtajua umuhimu wa maonesho ya jana.
TAAHIRA NI YULE ANAYESUBIRI ASOMESHEWE MTOTO WAKE NA SERIKALI
afanye kazi hata za kilimo sio kusubiri maandamano na kushabikia siasa
Siasa sasa inaelekea Ulingoni ni lazima tutawaliwe kwa viboko km hamjui kushika SMG
Tutasikia wenzetu wanawapeleka wanawe English Medium, Seco, University, mara China wengine wasubiri madesk ya msaada.
NYUMBA YEYOTE HULINDWA KWANZA NJE ndipo msosi halafu kujiendeleza
Hayo madawati yakijaa na adui akiingia ataanza na Mama zetu Dada na wake zetu AIBU ya nini sasa?
Vifaa vyote vya kijeshi vime nipa hamasa ya kuzidi kuwa na imani na jeshi letu,sikupata muda wa kuona vyote nilifanikiwa kuona kiduchu
Ni salamu kwa KAGAME ,hakika tunge mchapa kwa siku moja tu.
Wanaobeza maonesho sherehe za Muungano za jana wooote, tunawajua kwa majina na sura zenu hapa, hivyo tutawapeleka Somalia mkakae huko kwa mda wa miezi 3, mkirudi nadhani mtajua umuhimu wa maonesho ya jana.
Una akili za kitoto kama jk
Sasa faida ya kuwa na hizo parachuti nini?
kumbeeee? Kule Somalia wanapigana wenyewe kwa wenyewe kwa hiyo yale maonyesho ya jana ni kutuzuia na sisi tusichapane wenyewe? Ndiyo maana niliuliza adui anayetishwa hapa ni yupi? Jibu umenipa.
Umepanga kufanya nini mpaka vile vifaa vikutishie wewe ?!...........kombora la kutungulia ndege litageuka likutungue wewe ?.......wewe ogopa mabomu ya machozi na risasi za mpira. Na hiyo si kazi ya jeshi, wenye kazi hiyo wanaitwa 'Fanya Fujo Uone'
Wewe acha umbumbumbu sio kilakitu siasa swala la ulinzi wa nchi usifananishe na madawati pimbi we.
Yawezekana kabisa unaishi kwa baba yako na mama yk we ni kula na kulala tu nothing else.
Sasa faida ya kuwa na hizo parachuti nini?
Tofari zenyewe ni za vibuskuti. Wangechukua zile wanazotengeza wale wanaojenga barabara za mabasi yaendayo kasi tuone wakizivunja!matofali.