Siyo wajibu wake kununua madawati ni wajibu wa serikali. Wajibu wake kama raia ni kulipa kodi na serikali kuitumia kodi kuleta maendeleo siyo kununua vifaa vya jeshi vya kutishia wananchi.
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle
Utakuta hata la mwanaee hajawahi kununuaaaa
Hiyo hiyo kodi ndio pia inatumika kununua hivyo vifaa vya kijeshi,
Sijui ni sehemu gani wanachi wametishiwa labda kama kuna mwanajeshi alikuja akakutisha wewe binasi,
Kilicho fanyika jana ni kuonyesha wananchi uwezo tuliofikia kitika zana za kijeshi na kuwaondolea hofu rai wote watanzania dhidu ya adui yeyote. Kama kuna anayekutishia huko mtaani inatakiwa akufinye kisawasawa maaan hata picha huelewi.
Parachuti zile jamaa zinatisha!
Ndiyo maana nilisema vifaa vya jeshi vilikuwa ni vya kutishia wananchi. Mission accomplished.
Adui mkubwa wa raia ni umasikini sasa sijui wewe unamuongelea adui yupi. Silaha ya kwanza ya kuupiga umasikini ni elimu. Na hapo ndiyo madawati yanasaidia.
Acha ujinga wwe...wwe kungekuwa na hata hizo shule kama nchi isingekuwa na ulinzi wenye vifaa vya kutosha na vya kisasa....Na hvi mbona unapokaa unaweka mlango tena imara wenye kofuli au kitasa cha kisasa kwanza kabla hujanunua hata kijiko kuweka ndani, Au ukiwa unauwezo unaweka mpaka ukuta wenye get kubwa...fikir kabla ya kusemaSiyo wajibu wake kununua madawati ni wajibu wa serikali. Wajibu wake kama raia ni kulipa kodi na serikali kuitumia kodi kuleta maendeleo siyo kununua vifaa vya jeshi vya kutishia wananchi.
Acha ujinga wwe...wwe kungekuwa na hata hizo shule kama nchi isingekuwa na ulinzi wenye vifaa vya kutosha na vya kisasa....Na hvi mbona unapokaa unaweka mlango tena imara wenye kofuli au kitasa cha kisasa kwanza kabla hujanunua hata kijiko kuweka ndani, Au ukiwa unauwezo unaweka mpaka ukuta wenye get kubwa...fikir kabla ya kusema