Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

ni umburula kupoteza mamilioni ya fedha za walalahoi kufanya mbwembwe za maonyesho ya majeshi huku wagonjwa wakifariki hospitalini kwa kukosa dawa na vifaa tiba.

hata mtanzania mtoto alijua fika maonyesho yale yatapeleka kilio kwa maadui zetu, atamhit mama yake
 
wataufyata maana wanatuogopa sana!
kp28042014.jpg
 
majirani wametuchabo jana, ngoja wakajipange. nimefurahi yule bibi kuambiwa anajua kiswahili vizuri yeye akajibu "kidogo"... jk akampiga shushu la kistaarabu.[/QUOTE]

Wakati JK anatoka uwanjani alimuandikia kitu kwenye kikaratasi huyu Mama wa Malawi!! Sijui ni namba ya THIMU (personal number). Halafu kalamu aliyoazima kwa mlinzi hakumrudishia-)
 
mimi nilicheka mama Joyce Banda alikuwa anamuomba JK sijui namba ya simu, walipokuwa wanateta,mama Salma pumzi ilimjaa[/QUOTE

Mhhhh, mimi napita tu. watu wengine si ajabu wakakuomba ushahidi wa picha!!!
 
mie nilifurahishwa na mengi mojawapo ni halaiki kwa kweli walifanya vizuri. halafu kuna karoboti kalikuwa hewani wakati wanamuziki wanaimba ni ka nini kale jamani. mnitoe ushamba mwenzenu!
 
Ilikuwa ni kituko cha aina yake katika sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa uhuru pale ambapo mbwa wawili walipokaidi amri ya polisi badala ya kukaa chini yakainuka kabla ya kuruhusiwa. Wakati kituko hiki kinatokea rais aliona na kuangua kicheko hatimaye akamuonyesha jenerali Mwamunyange kilichotokea naye pia akacheka.

Hivi wale mbwa ni wakaidi, watukutu au hawakufunzwa vizuri tofauti na jinsi alivyowanadi msemaji wa jeshi la polisi katika onyesho hilo?
 
Ilikuwa ni kituko cha aina yake katika sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa uhuru pale ambapo mbwa wawili walipokaidi amri ya polisi badala ya kukaa chini yakainuka kabla ya kuruhusiwa. Wakati kituko hiki kinatokea rais aliona na kuangua kicheko hatimaye akamuonyesha jenerali Mwamunyange kilichotokea naye pia akacheka.

Hivi wale mbwa ni wakaidi, watukutu au hawakufunzwa vizuri tofauti na jinsi alivyowanadi msemaji wa jeshi la polisi katika onyesho hilo?

mwanangu mdogo aliigundua hiyo akawa ananiita baba, baba kuna mbwa korofi amekataa kutii amri ya kukaa chini na kusimama! nikamjibu pengine aalikuwa mgonjwa au hajisikii vizuri!
 
KUNA MATAHIRA na Vichaa sjui nkuweke kundi gan



Mkuu, usijisumbue kwa huyu. Namfahamu huyu jamaa ni Mnyarwanda ila anaishi hapa Bongo siku nyingi tu lakini anaogopa kwenda kwao kwa kuhofia kunyongwa ama kukatwa pum.bu hadharani na Kagame.
 
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle

Mimi Nilikuwa Napenda tu Pale Makomandoo Walipokuwa Wanaimba Komandooo Komandooo Komandooo Komandooo Utadhani Ni Wendawazimu AU Makuli Wa Kariakoo AU Mchikichini.
 
huu ni woga tu. mtu jasiri na mwenye akili timamu hatangazi silaha zake hadharani.

Mkuu I do Salute You................ Una Akili na Upeo Mkubwa Sana Natamani hata Nikutumie tu Zawadi Ujiburudishe. Hakika Umemaliza Kila Kitu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Big Up.
 
Back
Top Bottom