Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Pale wasanii walipoanza kuimba hasa hasa linnah akiimba wimbo wa hello tanzania,

Inaonyesha prezid anaupenda maana alisimama na kuanza kupiga makofi akicheza cheza....
 
attachment.php
 
mimi nilicheka mama Joyce Banda alikuwa anamuomba JK sijui namba ya simu, walipokuwa wanateta,mama Salma pumzi ilimjaa
 
Sehemu iliyonifurahisha ni pale mc mjeda yule aliposema tutaulinda muungano nikawakumbuka ukawa na Tanganyika yao nikaona wanatafuta kipigo tu.

Sehemu nyingine ni kikwete kucheka full time.

Pia alipomtambulisha waziri mkuu wa Rwanda kisha akasema hatuna ugomvi lazima majiran wakae kwa upendo.
 
Sehemu iliyonifurahisha ni pale mc mjeda yule aliposema tutaulinda muungano nikawakumbuka ukawa na Tanganyika yao nikaona wanatafuta kipigo tu.

Sehemu nyingine ni kikwete kucheka full time.

Pia alipomtambulisha waziri mkuu wa Rwanda kisha akasema hatuna ugomvi lazima majiran wakae kwa upendo.

Halafu yule mwakilishiii anaonyeshwaa muda mrefuu kwenye Tv aisee hahhhhahhha stunna weka basi picha mi siwezi
 
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle
ni nchi gani hii??? eti vifaa vya kijeshi vinanunuliwa kupitia dalali wa kihindi (jeetu patel)alafu mnachekelea ujinga huu,watz siku mkipata akili japo robo tu mtauana tusubiri
 
Sasa si mutuwekee mapichaa fyooooo!! Wengine hatuna kideo munasemasema tu na kunirusha roho hapa!! Munaniudhi !! Weka video !!!fyuuuuuuuu!!(afu ninahasira sijui nani kaniudhi ? Kideo sina!!!) hujambo Dinazarde .....?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom