Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Utaahira wake uko wapi? Ameuliza swali la maana.
TAAHIRA NI YULE ANAYESUBIRI ASOMESHEWE MTOTO WAKE NA SERIKALI
afanye kazi hata za kilimo sio kusubiri maandamano na kushabikia siasa
Siasa sasa inaelekea Ulingoni ni lazima tutawaliwe kwa viboko km hamjui kushika SMG
Tutasikia wenzetu wanawapeleka wanawe English Medium, Seco, University, mara China wengine wasubiri madesk ya msaada.
NYUMBA YEYOTE HULINDWA KWANZA NJE ndipo msosi halafu kujiendeleza
Hayo madawati yakijaa na adui akiingia ataanza na Mama zetu Dada na wake zetu AIBU ya nini sasa
?

 
yule jamaa mkimbizwa mbio alivaa johoa kkkuuuubwaaa basi mmbwa alimnga'ang'ania...aisee nikasema hawa mbwa niaje manake kila akipewa command amwahe dog kakomaa tu ili yule afande atumie nguvu ya ziada kuondoa meno ya mbwa kwenye buti za jamaa...Hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle

Mie nilicheka pale mbwa walipoambiwa wakae halafu wawili wakatia mgomo na kusimama,pale ndio mbavu nilikuwa sina.
Nikasema mbwa wale wakirudi kikosini watachapwa bakora mpaka basi kwa kuwaaibisha
 
Halafu yule mwakilishiii anaonyeshwaa muda mrefuu kwenye Tv aisee hahhhhahhha stunna weka basi picha mi siwezi
comandoo.jpg

aa Huyu Commando alinifurahisha kwa kuruka msamba ingawa kibao cha mguu wa kushoto alikikosa kukivunja, mwenzake akakitupa kutudanganya lkin kwa kimo kile wengi mtaani hatuwezi
 
Siyo wajibu wake kununua madawati ni wajibu wa serikali. Wajibu wake kama raia ni kulipa kodi na serikali kuitumia kodi kuleta maendeleo siyo kununua vifaa vya jeshi vya kutishia wananchi.

Umepanga kufanya nini mpaka vile vifaa vikutishie wewe ?!...........kombora la kutungulia ndege litageuka likutungue wewe ?.......wewe ogopa mabomu ya machozi na risasi za mpira. Na hiyo si kazi ya jeshi, wenye kazi hiyo wanaitwa 'Fanya Fujo Uone'
 
Mi ilinichekesha onyesho la Police mbwa walicommandiwa wakae ila kuna m1 alibaki kasimama dede nikaona yule Police aliyekuja na yule mbwa kama alikuwa anamforce hivi kukaa ila waapi mbwa kakaza.Police akaona isiwe ishu akaamua kumkaushia tu!
Tena mshehereshaji alikuwa anaweka msisitizo jinsi mbwa wale walivyo watiifu, lakini wapi !
 
Kuna watu wajinga sana yaani wao kila kitu Tanzania ikifanya wanaona kibaya tuache siasa.
Tanzania imejitahidi kununua vifaa ili kukulinda wewe hapo afu wapiga kelele kuhusu madawati, madawatu ya nini wakati wanafunzi wenyewe wanakesha FB, kusoma hawasomi?
Kuna Boat ilitengenezwa Tanzania tena na Navy ya Tanzania na jana imepitishwa pale mbele.
 
Tanzania jana tumejitahidi kuonesha uwezo wetu wa vifaa tulivyo navyo, sijaona gari la mchina pale, mchina labda ana ndege tu pale ila boat zote sio za mchina, vifaru sio vya mchina.
Afu pia tuelewe kuwa si kila nchi duniani yatengeneza vifaa vya kijeshi nchi nchi hununua Marekani au Urusi
 
Umepanga kufanya nini mpaka vile vifaa vikutishie wewe ?!...........kombora la kutungulia ndege litageuka likutungue wewe ?.......wewe ogopa mabomu ya machozi na risasi za mpira. Na hiyo si kazi ya jeshi, wenye kazi hiyo wanaitwa 'Fanya Fujo Uone'

Huyo jamaa ni kilaza tu hajawahi hata kufaulu,jeshi letu lazima liendane na wakati ukizingatia tunawasomi wa kutosha jeshini tofauti na miaka ya nyuma ,waliokuwa wakifeli ndk wanakimbilia jeshi.
 
Back
Top Bottom