Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Mimi kilonifurahisha ni lile jukwaa lilokua linabadikikabadilika kwa kuonesha picha na maandishi tofauti. Ila kuna mtu tulikua tunabishana, Yeye anasema ni watu wale wanobadilisha vile mimi nasema pana screen ya li tv ndo linaonesha. Wakuu hem nisaidieni eti Yale mapicha yalikua yanabadilika vp pale?
 
Mrisho mpoto aliposem "mjomba tuvumilie maana leo ni sk uetu
 
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle

Hapo kwenye "JK kupenda sifa" kesho utakuta jabari gazeti la UHURU kichwa cha habari dinazarde mchochezi kumbe mwenyewe ulimaanisha kumsifu JK.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye "JK kupenda sifa" kesho utakuta jabari gazeti la UHURU kichwa cha habari dinazarde mchochezi kumbe mwenyewe ulimaanisha kumsifu JK.

Hahhhhahhhha watanisakajeee duu mi nimesifiaa na kwa vile anapenda sifaa nadhani atafurahiaaaa
 
hiyo ndege ilowabeba askari wa miamvuli mhona hatukuipna na hatukuona askari wakijirisha toka kwenye ndege, tunaambiwa tuone askari wanashika toka mbinguni haaaaaaaaa danganya toto
 
Back
Top Bottom