Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kwa walioona sherehe ya muungano jana

Kombora la kudungulia ndege linaloitwa KING'ANG'ANIZI. Likitumwa linaikimbiza ndege kwa speed kubwa kila ndege inapojitahidi kubadili mwelekeo. Rubani akiliona anaamua kuiacha ndege
 
Sasa si mutuwekee mapichaa fyooooo!! Wengine hatuna kideo munasemasema tu na kunirusha roho hapa!! Munaniudhi !! Weka video !!!fyuuuuuuuu!!(afu ninahasira sijui nani kaniudhi ? Kideo sina!!!) hujambo Dinazarde .....?

Hahhhahhha hivi Lusungo hajaja kukuonaa na kukuleteaa hata sola jamanii polee wanaweka pichaa kuweka video siweziii wanaoweza watakuwekeaa, sijamboo shostitoo vipi ngedere hawajamboo lakinii
 
Last edited by a moderator:
jeshn.jpg hakuna kitu kilicho nifurahisha zaidi ya hikitembo.jpg ila huwanachukia sana kuona viumbe wakiteseka wakati nao wapo..
 
comandoo.jpg

aa Huyu Commando alinifurahisha kwa kuruka msamba ingawa kibao cha mguu wa kushoto alikikosa kukivunja, mwenzake akakitupa kutudanganya lkin kwa kimo kile wengi mtaani hatuwezi

Hii hata mimi naikubali
 
Kombora la kudungulia ndege linaloitwa KING'ANG'ANIZI. Likitumwa linaikimbiza ndege kwa speed kubwa kila ndege inapojitahidi kubadili mwelekeo. Rubani akiliona anaamua kuiacha ndege

Hayo makombora yanapoikimbiza ndege yanafuatilia INFRA RED RAYS zinazotoka kwenye injini ya ndege. sasa zipo ndege ambazo ni upto date zaidi zinaweza kuyachangaya hayo makombora.
 
Mimi alinifurahisha Kikwete alipo mu introduce waziri wa Oman na kusema kuwa Oman tuna uhusiano nao unique Duniani akaendelea na kusema hata waziri usikute ana asili ya Zanzibar na akasema ndivyo ilivyo kwani anamjuwa.
 
Janaa nilichekaa sanaa kuonaa jeshii la Tanzaniaa lilivyo fanya makekee yakee mbele ya maraisii wote wa East Afrika
Jk bas alifurahi na kucheka kilaa mudaa anatabasamu kama kawaida yakeee
Je ni sehemu ganii we ilikuchekeshaa janaa maana wanajeshi wana mbwembwee walee japo wameshibaaa na walifanya mazoezii ya kutoshaa nadhanii
Na mtangazaji naee alikua na mbwembwe kuelezeaa vifaa vile vya kivitaaa najuaa ilikua ni kuonyesheaa baadhi ya nchii fulani maana Jk kwa kupenda sifa hajambooooo aisee
Naomba kila mtu aelezee sehemu iliyomfurahishaa janaa
Mi palinifurahishaa pale yule mjeda anapigwaa na ubao lainii akipigwaa unakatikaa halaf anamuita ampigee tena nilicheka sanaaa aiseeee
Wadauuu tiririkaaa matusi hayatakiwiiii hapaa tunahitaji kufurah na kuchekaa sieeee
Kigogo ukujee bila kusahau na Gogle

niliwahi kuona kwenye TV korea kaskazini wakifanya maonesho ya kijeshi. silaha kali za kivita na majeshi yakipita mbele ya rais wao wakati huo Kim Jong Il, Kajamaa hakacheki hata robo.
 
Ngoja nikujuze kuhusu uliyoyaona jana vyombo vingi ulivyoviona pale uwanjani vvinatengenezwa nyumbu kule kibaha kama vipo sio vya nyumbu ni vichache sana.
kuna kifaa alau kimoja kati hivyo vilivyooneshwa, kimetengenezwa tanzania?
 
niliwahi kuona kwenye TV korea kaskazini wakifanya maonesho ya kijeshi. silaha kali za kivita na majeshi yakipita mbele ya rais wao wakati huo Kim Jong Il, Kajamaa hakacheki hata robo.

Jk hua ananuna akiulizwaa maswalii magumuu ndio hachekiiiii
 
Siyo wajibu wake kununua
madawati ni wajibu wa serikali. Wajibu wake kama raia ni kulipa kodi na
serikali kuitumia kodi kuleta maendeleo siyo kununua vifaa vya jeshi vya
kutishia wananchi.
Asante kmdh tuendelee kuelimishana hivyo! Kazi yetu ni kulipa kodi na tuna haki ya kuwahoji kwa nini hawajaitumia vizuri.
 
Hayo makombora
yanapoikimbiza ndege yanafuatilia INFRA RED RAYS zinazotoka kwenye
injini ya ndege. sasa zipo ndege ambazo ni upto date zaidi zinaweza
kuyachangaya hayo makombora.

hayo ma missile yanaitwa heat seeker, yanafuata joto la engine.

Hizo ndege zinazo yadanganya hayo mabomu zinatoa Flares so mabomu yanalipuka kabla hayaja hit ndege.

Ila ndege za kisasa kama raptor f-22 zinajua kutofaautisha kati ya joto la flares na la engine.
 
Hivi wale macomando wanaishi uraiani?
maana pale kavunja tofali tu je jirani yake atamfanyaje? mwe!!
 
Hivi hapa duniani siku hizi kuna vita ya karate au ni mbwembwe tu, lakini niligundua hekima ya zile mbwembwe za jana pale bwana ni mzee kagame alikua unapigwa mkwara na kweli kwa haraka haraka itamnyima usingizi tu.
 
Back
Top Bottom