Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

Huko mwaka NECTA walikua na hasira na sisi. One za masomo yote zilikua hazizidi 350 Tanzania yote aisee.
Zilikuwa 286 TZ nzima na zingekuwa chini ya hapo.
Marian girls wengi walipata division one kupitia somo la divinity, utakuta .tu amepata F ya Phys lakini ana A ya divinity anawekewa Ile A ya divinity

Ila Cha ajabu zaidi eti Islamic Knowledge na Computer zilikuwa hazihesabiki kuhesabu division kwenye combination husika na huo ndio ukawa mwisho wa divinity kuhesabiwa kwenye kupata division.
 
Dah nampata huyooo kipnd yupo form five me nipo zang form two azaboy apo
 
Sema alipga kawaida sn necta ya six
 
Sa ivi Kuna shule nilikuta karibia darasa zima Lina 1.3 pcm na pcb .. nikasema hii sasa ishakua dharau
Necta wanazingua sana aisee.. imagine kuna dogo nlkua namkimbizia phyz na namba dogo alkua shallow sn mwisho wa cku necta kapga one ya nne.. nkabaki nashangaa japo nmempka mwnywe
 
Dah bila shaka dogo kaajiliwa local government...ni engineer somewhere...
 
Sa ivi Kuna shule nilikuta karibia darasa zima Lina 1.3 pcm na pcb .. nikasema hii sasa ishakua dharau
Halafu hao waliopata hizo alama ni weupe tu...Nina shemeji yangu alikimbia shule PCB baada ya kutoka na Saba olevel...zamani mtu anayepiga Saba olevel na tatu advance wanakuwa smart kweli kweli..sio sasa..ni almshaka..labda kwa government.... lakini private wengi ni almshakaaa Sanaa
 
Hata upewe miaka 20 ya kukaririr na unalipwa unaweza usiwe Tz one, to be Tz one there a kind of bless kutoka kwa Mungu kwanza...Don't underrate.
I'm not trying to underrate brother don't quote me wrong I'm just stating how to improve and make it more better than it is.
 
Sijaona sababu ya msingi ya kwenda advance mpaka sasa
Ni Kweli kama form 4 ulipiga fresh , kuna ueezekano 6 UKa drop , kuna mabro zangu walikuwa wamoto Sana pale mzumbe 4 walipiga dv 1 safi , 6 wakapata dv 3
Niliogopa Sana, Nika ona isiwe tabu nikaibuka dit, zikutaka kuharibu sivi, elimu Sio Vita ni kuelimuka
 
Yana mwisho haya mkuu. Lakini cha muhimu shukuru Mungu ulimaliza vizuri na sasa mkono unaenda kinywani. Hizi ndizo elimu zetu za bongo.
 
Wahanga wakubwa wa nacte ni 2012 4m 4 na 2013 4m 6, lilipita gharika ikabidi warudie rudie kupachika pachika tu, wapo waliobahatika na wengine walilalia kuti kavu. Ndio ikaletwa BRN baada ya hapo ufaulu ni kupaa tu toka hapo mpka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…