falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
- Thread starter
-
- #81
Sihami bongo hata iweje aisee nlienda lubumbashi na kigali ni pa ajabu mno
vp wali kuku naweza kupata,au nyama choma za kibongobongo,nitatumia usafiri wa basi ,gharama za ushuru wa barabara zikoje ? wanawake wao hawaliki kwanini ?
Kumbe ww ni falcno una msaada wa kutosha,ila nakumbuka hizo basi kwa lubumbashi zina pack pale brasimba na pale kuna wabongo wengi sana pia pale kuna taqwa zipo zina kwenda hadi korwezi.hivyo mkuu ni msaada tosha.njo vile pehrtee!
Mkuu kwa kifupi maisha pale ni aghali in comparison na bongo
Lodge nzuri ni kuanzia $100 na kuendelea
Chakula ni expensive yaani Chipsi na sausage moja tu dola kama 11 hivi
Kama unakamata vikali labda ile michupa yao mikubwa ya beer kama maji ya uhai lakini ukigusa sijui Heineken ni kama dola 4.5 hivi
Rushwa ni kuanzia entry airport utadaiwa dola 50
Uwe na chenji za dola moja moja kabisaa vinginevyo watakufilisi maana ukimpa rushwa huyu na yule anakusubiri
nilichogundua vyakula ni issue,ni bora kuliangalia kwa makin sekta hii

Sana! Aghali na sio taste zetu kabisa
nilichogundua vyakula ni issue,ni bora kuliangalia kwa makin sekta hii
hv kuna wali kweli kule lubumbashi? na imejengeka kama dar au mombasa
Upo ila mapishi tu
Nenda Dar Kinondoni nyuma ya MK bar kuna kipub chao wanapika mapishi ya Congo kinaitwa LUBUMBASHI ukajizoeze taste na variety zao
nilichogundua vyakula ni issue,ni bora kuliangalia kwa makin sekta hii
Mkuu ukienda kule ukituliza akili utapiga hela ila upande wa msosi kidogo ujipange kuna mgahawa nilienda nikachukua wali umepikwa kama ugali
mkuu jambazi vp ulilipa sh ngapi kwa lodge uliyofikia,
tatizo la wabongo hatuko serious ktk masuala ya msingi,Mombasa sihami bali nataka kujitanua kibiashara zaidi na zaidi.ni utaratibu niliojiwekea kila baada ya miezi mitatu nasafiri mji ambao sijawahi kufika ili nijifunze mambo mengi zaidi. kwa mfano after kongo napenda kwenda madagascar
kibinda nkoi na ndombolo ya solo butu na moi
Jamani kwa yeyote aliyefika kati ya sehemu hizo mbili Lubumbashi na Kinshasa tujuzane uzoefu nategemea kwenda huku august kuspend kwa wiki mbili,nia na madhumuni kujifunza na kuongeza upeo lakin kubwa zaidi kuangalia nafasi za kibiashara,nijuzeni gharama za malazi, chakula,malaya vp wanapatikana kwa urahisi ? na vingine vyote ambavyo kama mgeni napaswa kuvijua