Kwa wale wasio na...

Last edited by a moderator:
 
Kweli kabisa Kongosho...mwanamke na aibu ni mapacha...

Umenikumbusha kaneno alinambia Bibi juzi, eti....."Mwanamke manyonyo kwani makalio hata wanaume wanayo...lol"!!

Babu DC!!

Bibi mtundu, uje unialike tufundishane mambo ya vijana ya akina madame B, ya sriisam

Duuu.Aibu hizi umeanza lini?? Kuna mtu kaiba pasiwedi yako..Lakni najua hapa unazuga tu kwa Asprin na Dark City .
Unayemuadimaya ni..... sio mwingine ila niiiiiiii.. Invisible
Sometimea wanawake ni wajanja
Huwa hawasemi wazi wanam-adimaya nani
Kama anamtania tania kumbe anasubiri mwenzie ajiongeze, hujui hilo

Afu huyo wa mwisho si ataniban nikimfungukia jamani?

Hata mimi najiandaa kumfungukia mtu this time next year....!!

Najua pensheni itakuwa inakaribia kuisha....

Babu DC!!
Am waiting....
Hatimaye.:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Am torn between 2babuz and 1 serengeti King'asti is my witness:shut-mouth:

Usiogope..Hii thread leo ni ya kusema yaliyo moyoni.Na isitoshe siku ya leo sio ya kupeana ban ni ya kusameheana na kupendana..Mie nimekurahisishia wewe malizia...
 
Last edited by a moderator:


Hapo sasa ndo umechafua hali ya hewa...

Nalog off....

Muwe na V day njema....

Babu DC!!
 
Kwa wale single ladies ambao wamedoda hadi muda huu natoa nafasi ya upendeleo hadi saa 10:00 jioni. Baada ya hapo ntakuwa na mamsap wangu kuikamilisha siku ya mapendeko viwanja fulani hivi. Kwahiyo kuna maa sita tu ya kujiondoshea upweke. lol

mwaJ na Zion Daughter msiisome hii comment, na kama mmeisoma naomba mpite kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:


Hivi 40 tayari zimekwisha??

Happy V day and best wishes wa Poti!!


Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…