Kwa wale wapenzi wa movies tafuteni "THE EXPENDABLES 2"

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Kama mliangalia ile ya kwanza na ukaipenda, hii ya pili ni kali zaidi na kama kawaida mastaa kibao unaowajua, baadhi yao ni kama;
Rambo
Jet Li
Arnold Schwarzenegger
Bruce Wills
Dolf Lundergren
Jason Statham
Van Damme
Chuck Norris

Na wengineo wengi..........
 
Hv Boom 2012, 3D imeshatoka!
Niliona List ya Movie za Sept za mwaka huu nayo ikiwemo.
Sijacheki kama imetoka ngoja nifanye mashauri hayo leo ntakuwa na jibu by jioni na kama inapatikana tayari
 
Hivi hii ndio nini???

3D ni mfumo fulani wa Movie ambao huwezi kuona picha vizuri kwenye Screen kwa macho yako.
Must to wear an 3D Glasses,Na unaona angle zote za picha.
Na baadh ya movie ktk cover huandikwa kbs 3D MOVIE.
Coz utaona picha haijatulia flani hv usipovaa hzo miwani.

Kongosho sitaki kuamini ufahamu jamani!!
 
Last edited by a moderator:

Ila inabidi uwe na TV ya 3D na uvae miwani ya 3D si wengine ndio tunataka kuelekea kwenye HD kwanza ndio twende kwenye 3D
 
Ila inabidi uwe na TV ya 3D na uvae miwani ya 3D si wengine ndio tunataka kuelekea kwenye HD kwanza ndio twende kwenye 3D

Nimeshaelezea hapo juu.
Ila kwa Tv za 3D Sidhani kama zimeshasambaa sana,
na SONY CORP. ndio watengenezaji wakuu wa hzo Tv.
Na je umeshasikia hzi 'Breille Tv'?
Kaa mkao wa kula.
 
Nimeshaelezea hapo juu.
Ila kwa Tv za 3D Sidhani kama zimeshasambaa sana,
na SONY CORP. ndio watengenezaji wakuu wa hzo Tv.
Na je umeshasikia hzi 'Breille Tv'?
Kaa mkao wa kula.
Hizo zikoje tena Madame B
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom