Kwa wale wapenzi wa movies tafuteni "THE EXPENDABLES 2"

Anold; I Will Be Back!!
Bruce Wills; You have been back enough, I will be back!!
 
nimeiona aisee ni movie nzuri............ila Rambo na Arnold wamezeeka sasa.
 
Ka umri kameenda.... halafu Jason kapunguza uchakaramu
yani umri umeenda kweli............ila majina siwajui wote hivi yule mniga anaitwa nani ? mana alivyokuwa anaua kwa hasira.
dah ngoja niichek tena sasa hivi kabla sijaenda kulala.
 
Van Damme: Are u afraid of me.......you should be
Kaka kile kisu kilizamishwa kifuani kwa ukatili wa ajabu,
Yule dogo (sniper) alishawatahadharisha wenzake not to surrender kwani Damme angemuua tu.
 
Nimeipata jioni naitazama vizuri. Lakini kabla yake itabidi niitazame kwanza ile ya kwanza
 
Nimeipata jioni naitazama vizuri. Lakini kabla yake itabidi niitazame kwanza ile ya kwanza
Yeah ni vyema ukaitazama ile ya kwanza kwasababu ni kama mwendelezo fulani hivi kwenye hii ya pili.........ya kwanza mtazame mtu anaitwa Jason Statham kama umewahi kuwatch movies zinaitwa transporter basi yule transporter.....Then utakutana na saga la Jet Li na Dolf.....its a nice one too asee
 
Kwa vile vichwa lazima Jason awe mpole, heshima ichukue nafasi!!
Halafu wamepunguza sana role ya Jet Li bhana mi nilitaka ule ugomvi wao na Dolf uendelee kidogo
 
Yeah ni vyema ukaitazama ile ya kwanza kwasababu ni kama mwendelezo fulani hivi kwenye hii ya pili.........ya kwanza mtazame mtu anaitwa Jason Statham kama umewahi kuwatch movies zinaitwa transporter basi yule transporter.....Then utakutana na saga la Jet Li na Dolf.....its a nice one too asee
Part one haikua poa kivile kulinganisha na vichwa vilivyo-participate
 
Ile ya kwanza niliiangalia lakini ni muda mrefu kidogo na stori yake ni kama nimeanza kuisahau, lakini zote naziangalia leo. Napenda namna movie ilivyoshirikisha wakali...
 
Part one haikua poa kivile kulinganisha na vichwa vilivyo-participate
Mi kilichonifurahisha kwenye ya kwanza ni acting ya Jason pamoja na ugomvi wa Jet Li (Small guy) na Dolf the big Guy
 
Stallone-66
Schwarzenegger-65
Chuck Norris-72
Van Damme-51
Bruce Willis-57
Dolf Lundgren-54
Jet Li-49

Hawa wazee umri umeenda lakini wako fiti!!
 
Stallone-66
Schwarzenegger-65
Chuck Norris-72
Van Damme-51
Bruce Willis-57
Dolf Lundgren-54
Jet Li-49

Hawa wazee umri umeenda lakini wako fiti!!
Dah sana, pale kijana ni yule sniper tu aliyeuawa na Van Damme pamoja na Jason Kidogo labda na Terry Crews kwa mbali
 
naombeni websyt nika downlaod jaman
Kuna namna mbili hapa, ya kwanza ni kupitia U torrent ambapo utaweza kudownload ma file yaliyoko kwenye torrent format. Ya pili ni kupitia idm ambayo ndio mi naitumia siku hizi ambapo unaweza kudownload kwenye page ambazo zinaonyesha movie hiyo online. Uzuri wa idm ni kwamba unaweza kudownload file kwenye format yoyote hata flv ambalo ni jepesi kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom