Kwanini Tiger Shroff na Scott Adkins wasikutane kwenye filamu moja?

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,824
Habari,
Kwa wale wapenzi wa mangumi ya video kama mimi nadhani tunajua moto wa waigizaji wa action movies hasa wale wa ngumi kavu kavu.

Hebu ona hii orodha;
Jet Li
Garry Daniels
Sunil Shetty
Arnold Schwarzenegger
Sunny Deol
Dolf Lundgren
Van Damme
Chuk Norris
Rambo
Donny Yen
Jackie Chan
Bruce Lee
Akshay Kumar
Mithun Chakraboty
Wislay snipes
Billy Blanks
Collin Chou
Mukesh Rish
Jerry Trimble
Michael j white
Kessy Vitali
Tiger Shrof
Scott Adkins
Tony Jaa
Jason Statum

Ukiangalia hiyo list utakuta wameshakutana kutana kwa namna tofauti tofauti (japo kwa Wahindi sijaona wakichanganyika sana).

Sasa kwa sasa kule India wanaong'ara kwenye hayo mambo naona humkosi Tiger na kule Uingereza, Garry Daniels kazeeka sasahivi moto upo wa Scott Edward Adkins.

Napenda sana hawa wawili walivyo smart katika kupambana, wangekutana kwenye muvi moja watuoneshe ujuzi wao. Huyu Mhindi nikiangalia movie zake namuona yupo vizuri ila kinachomharibu ni mambo ya ubollywood na utollywood (ya mtu kupigwa ngumi mpaka anafuka vumbi, anapaa anaangukia mnazi nazi zinajiangua zote, kisha akaendelea mbele anakumba gari inaserereka mpaka inaangusha ukuta nk).
 
Inshort tiger scroop na vidyut Jamwal hawa jamaa ni shida nyingine Wana zile stunt za ukweli sema Mambo ya India ndo yanaharib baadh ya movie Ila jamaa wakoo poa

Icheki WAR

Ningependa tiger akutane na Adkins iko uwais Tony jaa na Mzee mzima jai white

Watu wa action tumeelewana
 
Michael J White anaboa kinoma. Movie zake zote hawi challenged. Yaani yeye mwanzo mwisho ni kutoa vipigo tu. Mimi napenda movie staa anapigwa kiasi kwamba sisi watazamaji tunaomba kimoyomoyo aisiuwawe.
 
Inshort tiger scroop na vidyut Jamwal hawa jamaa ni shida nyingine Wana zile stunt za ukweli sema Mambo ya India ndo yanaharib baadh ya movie Ila jamaa wakoo poa

Icheki WAR

Ningependa tiger akutane na Adkins iko uwais Tony jaa na Mzee mzima jai white

Watu wa action tumeelewana
Yeah, tena j white na tonny jaa wote wanapiga mu thai

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Yeah, tena j white na tonny jaa wote wanapiga mu thai

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Michael Jai white amecheza sanaa zaidi ya 6 ila alibobea zaidi katika Kyokushin Karate ila pia amepitia Judo, Kung Fu na Jiu jitsu.

Tony jaa yeye kabobea zaidi katika Muay Boran akipitia pia Tae Kwon do na Kung Fu na Krabi karabong.

Muay Boran ni sanaa ya Thailand ya kizamani sana neno Muay inamaana ya Boxing na Boran ni Ancient hivyo Muay Boran ni Ancient Boxing. Siyo sanaa ya mchezo kwa ajili ya mashindano ila ilikuwa ni Unarmed combat ambayo walitumia wa Thai katika vita.

Ila kwendana na wakati kupita kuna baadhi ya techniques zilitolewa na kuwekwa sheria kwa ajili ya kulinda wapiganaji ndiyo ikazaliwa hiyo MUAY THAI yani THAI BOXING.

Hiyo Kyokushin Karate ya Jai white ni moja ya style ya karate ambayo muasisi wake ni Masutasu Oyama ni Full contact pia ina mazoezi magumu.
 
Wewe extremely ni little master
 
Back
Top Bottom