Kwa wapenzi wa movies...Weekend hii tafuteni Movie hii

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Movie inaitwa SAFE

Imechezwa na Jason Statham na kibinti kidogo cha kichina chenye uwezo mkubwa wa mahesabu na kumbukumbu. Ni action movie na kama kawaida ya Jason ni yule yule kama alivyo kwenye expendables, transporter, high voltage au the mechanic bila kusahau the Bank Job.

You will never regret watching it
 
mkuu..clip za hii movie niliziona kwenye station moja ya habari hizi za kimataifa sina hakika sana ila nafikiri ilikuwa ni cnn, jamaa alikuwa anafanyiwa inteview..niliipenda ukizingatia uzuri wa huyu jamaa kwenye action japo sijaipata
 
Mkuu the mechanic jamaa aliitendea haki ile movie si mchezo wacha nitafute na hiyo safe.
 
Dah kali sana mkuu itafute maana nahisi inaweza kuwa inaingia mtaani karibuni, ingawa ukitafuta kwenye net utaipata maana mi nimeipata humu
 
Mkuu the mechanic jamaa aliitendea haki ile movie si mchezo wacha nitafute na hiyo safe.
Kuna maneno humo kwenye hiyo movie jamaa alipomuona akashangaa akamuuliza; The garbage collector! You just collect garbage. Jamaa akamwambia "No i don't collect, i Dispose them" Halafu akamuondoa vibaya
 
Mwenye link nzuri ya movie ya expendable 2 anipatie maana nimenunua dvd moja ya single inaonyesha kama vile imefanywa 1922, yani hata robo ya movie sikufika.
 
Dah kali sana mkuu itafute maana nahisi inaweza kuwa inaingia mtaani karibuni, ingawa ukitafuta kwenye net utaipata maana mi nimeipata humu

ngoja niitafute hiyo pamoja na expendables 2 jamaa (stathan) is one of my best action film actor yuko vizuri sana
 
SAFE viwango vingine kabisa...kidogo ifanane na TRANSPORTER.
Nilipenda kuiangalia kwa kuwa Chinese inapanda basi kwenye scene za kichina ilikua poa tu.
 
Movie inaitwa SAFE

Imechezwa na Jason Statham na kibinti kidogo cha kichina chenye uwezo mkubwa wa mahesabu na kumbukumbu. Ni action movie na kama kawaida ya Jason ni yule yule kama alivyo kwenye expendables, transporter,high voltage au the mechanic bila kusahau the Bank Job.

You will never regret watching it

Hiyo kwenye red naipenda sana pale kwenye mashindano ya farasi.
 
SAFE viwango vingine kabisa...kidogo ifanane na TRANSPORTER.
Nilipenda kuiangalia kwa kuwa Chinese inapanda basi kwenye scene za kichina ilikua poa tu.
Uliona pale alipomchukua yule dogo wa kirusi aliyekuwa anajifanya katili sana? Aliwavuruga in few seconds jamaa akwa mpoleee
 
Uliona pale alipomchukua yule dogo wa kirusi aliyekuwa anajifanya katili sana? Aliwavuruga in few seconds jamaa akwa mpoleee

dogo alipigwa na pumbuwazi jinsi wenzake walivyochezea shaba...robo ya muv kaspend kwenye buti
 
dogo alipigwa na pumbuwazi jinsi wenzake walivyochezea shaba...robo ya muv kaspend kwenye buti
Ila dogo alikuwa na mkwara na ile lafudhi yake ya kirusi basi dah!
 
Nishaiona...na hapa sasa naitazama..inno...muslim ambayo imeleta vurugu huko mashariki ya Kati.....
 
shukrani mkuu ngoja niitafute juzi nilicheki ile the bourne Identity nayo nlipenda
Imetoka Bourne nyingine ila sijaoiona, wachambuzi walikuwa wanaiponda kidogo wanasema haiko kama zile zilizopita,
Bourne Identity
Bourne Supremacy
Bourne Ultimatum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom