Kwa wale wapenzi wa movies tafuteni "THE EXPENDABLES 2"

ni ya ukweli mwanzo mwisho!
Ukishakua upande wa jambazi/TP lazima ufe hata kama na wewe ni star!
Van Dame kauawa!!!!!!
 
Nina Total Recall ya 2012, tofauti na ile iliyochezwa na Arnold miaka mingi iliyopita ingawa sijaiwatch coz kila nikitaka kuiwatch nasinzia........its another one of the good movies to watch. Hii ina Collin Farrell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom