Wale wapenzi wa Movie nzuri zenye mafunzo na zile za Action

Movie Clue

Member
Jul 27, 2018
38
9
Movie nzuri utakazozipenda zilizotoka mwaka huu:
1.I CAN ONLY IMAGINE - Hii ni Movie yenye historia ya kweli ndani yake ambayo inamhusu kijana mmoja aliyekuwa anatamani kuwa muimbaji wa nyimbo za kumsifu Mungu lakini Baba yake mzazi hakutaka kijana wake awe hivyo. Movie hii inaweza kukutoa machozi lakini pia itakufundisha kitu kikubwa sana, kwani sio kila jambo lako linaloshindikana ni shetani kasababisha! Hapana, mengine ni Mungu mwenyewe anayazuia ili urudi nyuma ukarekebishe pale anapotaka pawe sahihi. Usiikose Movie hii tafadhai.

2.ACRIMONY - Kwa wale washabiki wa Cookie Lyon aliyeigiza kwenye season ya EMPIRE naombeni msiikose hii. Movie hii inahusu maisha kwa ujumla, kutokukata tamaa kwenye jambo lako unalolifanya/unaloliamini au unalolitegemea. Utamuona kijana mmoja kwenye Movie hii aliyekuwa maskini sana hana wazazi, alidharauliwa, hakupendwa na wengi, aliishi kwenye kibanda.. Lakini alikuwa na PROJECT yake akiifanya na badae alifanikiwa kuunganishwa na kampuni moja kubwa akaitambulisha project yake na kwa bahati nzuri kazi yake ikapendwa na hatimaye kijana yule akawa tajiri mkubwa sana hadi kufikia hatua ya kugombanisha wengi waliomdharau mwanzo. Usikose Movie hii tafadhali.

3.ESCAPE PLAN 2 - Haya sasa wale mashabiki wa RAMBO msiikose hii. Ni movie nzuri ya ACTION inayohusisha vikosi vikubwa vya usalama wa nchi vikiongozwa na RAMBO. Utaona gereza la kisasa linaloendeshwa kwa Teknolojia kubwa sana ambalo mtu wa kawaida hawezi kutoroka. Kikosi cha RAMBO kilitekwa na wakashindwa kutoroka lakini RAMBO aliamua kujikamatisha kwenye gereza hilo ili akawaokoe watu wake. Je, unajua mkuu wa gereza hilo ni nani? Mkuu wa gereza hilo ni mmoja wa aliyekuwa kwenye kikosi cha RAMBO yaani kwa jina rahisi tunamuita MSALITI kwa sababu aliwageuka wenzake na kuwateka kisha akawafunga kwenye gereza hilo lisilo la kawaida na kuwatesa. Unadhani RAMBO atafanikiwa kuwaokoa watu wake kutoka kwenye gereza hilo ambalo huoni bunduki wala askari lakini huwezi kutoka? Basi ili kupata uhondo huo jitahidi usiikose Movie hii. Pia kwa wale watakaohitaji ESCAPE PLAN 1 watapata.

4.A QUITE PLACE - Ulishawahi kuona Movie ambayo kunzia mwanzo hadi mwisho watu hawaongei? Kama una moyo mdogo, sikushauri utizame Movie hii sababu inaweza kukutoa MACHOZI bila kutegemea. Kuna viumbe wa ajabu waliovamia karibu na maeneo ya watu ya kuishi, viumbe hawa ni kama wanyama lakini sio wanyama! Hawataki kusikia kelele ya aina yeyote wala hata mtu KUONGEA! Ukiongea, unaliwa. Hata kama mpo watu kumi akiongea mmoja analiwa yule aliyeongea tu wengine wanaachwa na haijalishi viumbe hao wapo umbali gani ila ikitokea kelele yoyote au kungea wanasikia na wanakuja kwa spidi kali zaidi ya TRENI. Eneo hilo watu humwaga mchanga chini na kutembea peku ili kuepusha kelele za vishindo na kuliwa. Tafadhali, Tizama Movie hii kama huna moyo wa HURUMA.

5.TOMB RAIDER - Ni movie ya action inayomhusu mzee mmoja aliyetaka kujua kuhusu UCHAWI. Ni movie nzuri sana kwa wale wapenzi wa ACTION na movie hii imenogeshwa na wale jamaa wawili walioibeba INTO THE BADLANDS ambao ni SUNNY na BADGE(yule kibonge mtata, haha!). Mastaa wa Movie hii ni wanne ila Mhusika mkuu ni Binti mmoja na Baba yake ambaye atapoteza maisha. Usiukose UHONDO huu.

6.THE TITANIC - TAFADHALI, kama unajijua wewe sio mvumilivu naomba usitizame Movie hii. Utalia kwa uchungu sana. Movie hii inawahusu wanajeshi waliokuwa wakifanyishwa mazoezi makali sana yasiyo ya kawaida ili wakaishi kwenye sayari nyingine. Wanajeshi wale walizidiwa na mazoezi na mwisho wa siku walianza kubadilika na kuwa ma-alliens. Tizama Movie hii kama unamoyo wa ujasiri.

Movie zipo nyingi jamani, nikiziandika hapa zote na kuzielezea wengine watachoka kusoma. Wasiliana nami kama utahitaji Movie yoyote kati ya hizo hapo juu au hata nyingine. Bei ya kila movie moja ni Tzsh.2000 tu ila kwa wale watakaochukua nyingi au Resellers watapata kwa punguzo kubwa.

Napatikana Sinza mtaa wa kwa mwaibula, wote mnakaribishwa. Kwa wale watakaonunua ESCAPE PLAN 2 tutawapa ESCAPE PLAN 1 bure na ambao watanunua Movie nyingine watapewa ANIMATION moja bure.

Nunua Movie saba Pata FLASH DISK ya GB 2 bure!
 
Ka bando kangu ka 1500 nadaunilodi movie 3 hadi 6. Asante, ngoja wateja wakuje
 
Ni kweli ndugu wala sibishi ila 1500 kama unadownload Movie 3-6 basi ni lowest and poor quality! Kama unabisha, weka hiyo vocha ya 1500 halafu nikutumie link ya Movie yoyote unayoitaka tena bure udownload mwenyewe uone kitakachotokea, kama isipoishia nusu basi utadownload hiyo moja tu. Unless uwe unadownload katuni zenye MB kadhaa ndo utadownload nyingi ila huwezi kudownload Movie zenye zaidi ya GB1 kama kina DEAD POOL 2 ,JUMANJI , RAMPAGE na nyingine kwa vocha ya 1500.
 
Ninazo ndugu, Movie moja Tsh.2000 ila ukichukua kuanzia tatu utapunguziwa bei na ukichukua kuanzia saba utapewa zawadi ya bure kabisa ambayo ni Flash Disk ya 2GB. Karibu sana.
Mimi napenda sana movie..mkuu weka contact zako, kama mtu akihitaji atakutafuta
 
Sahihisho movie no. 6 siyo TITANIC ni THE TITAN.

Nb
Acrimony, director Tyller Perry kaharibu hiyo movie mwishoni na hapo kadhirisha wale wenzie wanamzidi sana.
 
Yes, asante sana ndugu sikuona hilo kosa aisee.. Nashukuru sana ni kweli ni THE TITAN nasio THE TITANIC nilikosea ndugu zangu.
 
Ni kweli ndugu wala sibishi ila 1500 kama unadownload Movie 3-6 basi ni lowest and poor quality! Kama unabisha, weka hiyo vocha ya 1500 halafu nikutumie link ya Movie yoyote unayoitaka tena bure udownload mwenyewe uone kitakachotokea, kama isipoishia nusu basi utadownload hiyo moja tu. Unless uwe unadownload katuni zenye MB kadhaa ndo utadownload nyingi ila huwezi kudownload Movie zenye zaidi ya GB1 kama kina DEAD POOL 2 ,JUMANJI , RAMPAGE na nyingine kwa vocha ya 1500.
Tunatofautiana vionjo asee. Hizo quality nadownload kwa Wi-Fi, za kawaida nakomaa kwa tablet na kibando changu cha buku jero!
 
Ooh! Hata kutumia WI-FI lazima aliyekuwashia awe na bando kubwa pia, labda kama unatumia free WI-FI ya wizi, kampuni ama ofisini.
 
Ni kweli ndugu wala sibishi ila 1500 kama unadownload Movie 3-6 basi ni lowest and poor quality! Kama unabisha, weka hiyo vocha ya 1500 halafu nikutumie link ya Movie yoyote unayoitaka tena bure udownload mwenyewe uone kitakachotokea, kama isipoishia nusu basi utadownload hiyo moja tu. Unless uwe unadownload katuni zenye MB kadhaa ndo utadownload nyingi ila huwezi kudownload Movie zenye zaidi ya GB1 kama kina DEAD POOL 2 ,JUMANJI , RAMPAGE na nyingine kwa vocha ya 1500.
Halotel 1500 unapata 10Gb sita usiku hadi 12.
Je hizo 10Gb kwa movie za 1Gb napata ngapi? Otherwise labda kama kuna cha ziada kwenye hizo movie mkuu.
 
Acha kudanganya mkuu.. Me nadownload qualities nzuri kwa bando hilohilo..tena ni buku kwny mtandao wangu..napata zaidi ya muvi 6 na series+streaming youtube..
 
Yap.. Hata airtel unapata 10GB kwa 1500 ila kwa mimi ninayedownload Movie za kuuza kwa hizo GB10 sidownload zaidi ya Movie 3ili nipate kitu quality. Lakin kama ni Movie za nyumbani wala sipingi naweza download Movie hata 8
 
Acha kudanganya mkuu.. Me nadownload qualities nzuri kwa bando hilohilo..tena ni buku kwny mtandao wangu..napata zaidi ya muvi 6 na series+streaming youtube..
Bando za usiku hapo sawa mkuu ila kwa bando za kawaida huwezi kupata Movie hata tatu kwa buku. Never.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom